nadhani ulicho andika hapo kina refer jeshi la police?
hayo ni majeshi mawali tofauti yenye kazi tofauti kabisaaa. kila mmoja ana jukumu lake.Kama jeshi la polisi ambalo linawajibika kwa Rais halina nidhamu unadhani hiyo idara ya uhamiaji kwa kufanywa jeshi kamili na kuwajibika kwa Rais ndiyo itaongeza nidhamu!?
Nope watu wengi wasicho kijua ni kuwa. Kuna jeshi kamili moja nchi hii.Kwa mujibu wa Katiba majeshi yako mengi sana.
Sijui ilikuwa mistake au nini, eti jeshi la Polisi, sijui linapambana na nani
Jeshi la Magereza linapambana na nani? Kazi ya kubadilisha tabia za wahalifu au wafungwa linahitaji wanasaikolojia, wataalamu wa fani mbali mbali kwa ajili ya kufundisha njia mbadala za maisha, sasa askari wa kukesha analinda atamfundisha nini mhalifu wakati ye mwenyewe ana stress zake kibao
umesahau TAKOKURU kazi yao kula rushwa tu badala ya kuzuia na kupambana na rushwa.JW
TISS
POLICE
PRISON
IMMIGRATION
FIRE
.....
....
...
....
Hii nchi sijui ililogwa na nani. Wizara iliyopswa kyvunjwa ni Ardhi na Makazi. Wizara hii imefeli sana kwenye Urbanisation... huwezi kuchanganya mambo ya Urbanisation na mashamba huko vijijini... this is absurdKuongeza nidhamu kwa kuwajibika kwa Amiri Jeshi Mkuu ambaye anamuhofia kumtimua kazi zero pamoja na kuvurunda kwa kiasi kikubwa ná jeshi hilo kukosa nidhamu kabisa na kusababisha Watanzania kila kona nchini kulichukia jeshi hilo kwa kutenda dhuluma na udhalimu kwa Watanzania!? 😳
Hamza kawakurupua , Mpaka UVCCM kutakuwa jeshiKuongeza nidhamu kwa kuwajibika kwa Amiri Jeshi Mkuu ambaye anamuhofia kumtimua kazi zero pamoja na kuvurunda kwa kiasi kikubwa ná jeshi hilo kukosa nidhamu kabisa na kusababisha Watanzania kila kona nchini kulichukia jeshi hilo kwa kutenda dhuluma na udhalimu kwa Watanzania!? [emoji15]
Hamza kawakurupua , Mpaka UVCCM kutakuwa jeshi
Mkuu kabla ya hapo ilikuwaje?Bunge limefanya mabadiliko madogo ya sheria ya idara ya Uhamiaji ambapo sasa litakuwa ni jeshi kamili litakalowajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu
Waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema mabadiliko hayo yanalenga kuongeza nidhamu kwa idara ya Uhamiaji ambapo sasa litajiendesha kwa Amri.
Source: ITV habari
Litakuwa na uwezo hata wa kupindua nchi? Au jeshi kamili maana yake Nini?Si umesikia linakua jeshi kamili
KMKMJW
TISS
POLICE
PRISON
IMMIGRATION
FIRE
.....
....
...
....
Inatakiwa iwe hivyo. Marekani kuna ICE ambao wako chini ya immigration moja kwa moja na ndio wanaowakamata wazamiaji na kuwatupa jela. Miaka ya nyuma kidogo waliwanasa watanzania wawili hapa kwetu, mmoja tukafanikiwa kumnasua lakini yule mwingine akawa deported- hakupata nafasi ya kurudi kwenye apartmenet yake wala kupewa nafasi ya kukusanya mali zake, bali alirudishwa Tanzania kama walivyomnasa akiwa amevaa kaptula na T-shirt. Gari lake zuri sana la Nissan Murano likabaki pale pale walipomnasia hadi baada ya wiki moja ndipo likaja kuvutwa na jamaa wa City kulipeleka Junkyard.Kwahiyo wahamiaji haramu watakamatwa na uhamiaji moja kwa moja na sio polisi tena?
TanapaKMKM
JKU
VALANTIA
JKT
JESHI LA WANYAMA PORI
.....
....
Jeshi la Kudhibi Fujo za Kisiasa (JKFS)JW
TISS
POLICE
PRISON
IMMIGRATION
FIRE
.....
....
...
....
HaaJeshi la Kudhibi Fujo za Kisiasa (JKFS)