hii idea umeiona inatumika sehem flan nje ya tz?Zile app za kuita tax na bajaji na boda mitandaoni zinaitwaje ? Sijaona idea ya app za namna hiyo kwenye kilimo nchini ambayo mwenye shamba angejisajili na kuonyesha GPS ya shamba lake na ukubwa wa shamba kisha kupata huduma ya kulimiwa kwa tractor kutokana na umbali na ukubwa wa shamba lake ...hii ingesaidia sana kwenye kilimo serikali ingetoa matrator kwa ajili ya hiyo app na watu binafsi wanye matrector wange ya sajili kufanya kilimo
Mbona swali lako kama la kike wewe ni mwanamke ?idea umeiona inatumika sehem flan nje ya tz?
Mh!Genuine dating APP
Mbona na mimi nimekuuliza tu ...mfumo bora wa kupangilia mambo ndiyo unaotakiwa ...mfano mashamba yote yangepimwa na kusomwa GPS yake kwenye vijiji hivyo msimu wa kilimo wanakijiji wanaita tu hayo matrector kwa idadi inayotakiwa labda matrector 3 kwa kutumia app nakulipia kabisa kwenye app maana gharama zote zinge kuwepo kwenye kikokotoo cha app kazi inafanyika na kuondokaduuu, nmekuuliza ivo ili tutumie kama reference usipende kutoa majibu kama sio wa kiume
Kwani badoo tinder sio genuine jamaniGenuine dating APP
Kwani badoo tinder sio genuine jamani
Mbona nzuri tuu watu kibao wamepata my wife hukoSio hizo
Haujaielewa hoja yangu mkuu. Hebu soma vizuri...!WIFI inaoperate kwenye range flan tu haiwezi kuvuka mipaka
Mbona nzuri tuu watu kibao wamepata my wife huko
Jf wamejaa mishangaz tuu na wa ahili na hizo mbususu zao tafikiria wanachinjwa vileHuko ni bora kutafuta JF
Idea yako Kali sana kiongozi...nipe miaka miwil nitakutafuta ule mafao yakoKwa nini wasi-create app inayoweza ku-download au ku-feed WiFi kwenye simu ukitoka eneo lenye WiFi unaenda kutumia WiFi uliyoi-feed kwenye simu hata kama utakuwa mbali na hiyo WiFi husika...?
Watu wangefanya mpango waweke app ya kuhifadhi WiFi kwenye simu then ukitoka eneo lenye WiFi unaweza kutumia sehemu nyingine hizo Data hata kama ukiwa nyumbani, hata ikiwa ya kulipia watu wataliipa pesa nyingi tu.Idea yako Kali sana kiongozi...nipe miaka miwil nitakutafuta ule mafao yako
Wifi ni radio signal hauwezi kuihifadhi inabidi uwe karibu na access point (router) ili simu iweze kuongea na hiyo access point na access point ina connection yake ya mtandao, ni kama useme uje dar uhifadhi network ya Tigo kisha uende London uanze kutumia Tigo uliyohifadhi.Watu wangefanya mpango waweke app ya kuhifadhi WiFi kwenye simu then ukitoka eneo lenye WiFi unaweza kutumia sehemu nyingine hizo Data hata kama ukiwa nyumbani, hata ikiwa ya kulipia watu wataliipa pesa nyingi tu.
ndo maaana tumeuliza mkuu, kama una sehem unadhan inahitaji app karibu tukuskiezipo nyingi tu sema tanzania hapa tuna copy and paste kwenye app, kingine wangalia zile zakupiga hela haraka haraka. ukiangalia kwenye jamii kuna vitu vingi hapa vinaitaji app hapa