Idea gani ya app unatamani iwepo Tanzania mpaka sasa hujaiona?

Idea zote kali masee.
 
Idea zote kali masee.


#4. Hii idea nilishawai kudili nayo kipind nimekuja dar for the first, iyo siku nilikuwa na jamaa yangu ambaye tulienda kwa rafiki yake kijitonyama akawa anatafuta nyumba kubwa ya vyumba vitatu, tulizururishwa na madalali sio poa , tukiwa kwenye private car ya rafiki yake na mwana nikamwambia jamaa yangu hii mbona kama fursa. Kipindi hicho najua PHP code tu na hii idea nilipenda iwe kwenye app, ikabd nimtafute jamaa yetu ambaye tulisoma nae chuo ambaye yeye alijua android kwa kipindi hicho . Tukampa mchoro na alikuwa anataka 400k, alifika sehemu akachemka ikabd tumwachie Mungu kwa wakati huu.

Nilikuja tena kujaribu kutengeneza kipindi cha uzinduzi wa chatgpt niliishia kwenye web na target ilikuwa ni app, ni idea ambayo kiukweli bado namzuka nayo sana ingawa bado sijapata namna nzuri ya kudili nayo kwenye upande wa android na iOS. Ila kwa hiz AI ambazo zinaznduliwa kila siku naamini ipo siku natakuja na hii huduma maana ni headache kwa dar kupata vyumba.

Nilitamani niwaondoe kabsa madalali sema bado sijapata namna nzuri ya kuwaondoa completely kwenye hii business, wanachukua pesa nying sana na kuumiza raia. I wish nikipata njia ya namna ya kuwaondoa nitapata nguvu ya kutengeneza hii APP.

Kama kuna raia ana idea namna ya kupata nyumba za kupangishwa au kuuzwa kirahisi bila kuwa na madalali uwanja huu hapa. Ukisema landlord wawe wanapost naona uongo wengi nyumba wamewakabidh madalali.
 
Watu wangefanya mpango waweke app ya kuhifadhi WiFi kwenye simu then ukitoka eneo lenye WiFi unaweza kutumia sehemu nyingine hizo Data hata kama ukiwa nyumbani, hata ikiwa ya kulipia watu wataliipa pesa nyingi tu.
Hapa baadhi ya watu wanashindwa kuelewa.
Mwamba hapa anamaanisha kuwa na uwezo wakuhifadhi data ukitumia WiFi then ukitoka eneo eneo hilo basi data ulizohifadhi uweze kutumia utakapo kua eneo lengine.
Good idea 💡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…