Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
-
- #401
Sio fani mbaya wala uhaini kua mwanasiasa!!!!Ni jambo jema na ni karama pia sababu sio wote wana kipawa cha kua wanasiasa mzee wanguNelson...
Ningekuwa mwanasiasa ningefahamika hivyo kote kwa sifa hiyo.
Mimi sijapata kuwa mwanasiasa.
Upo sahii kaka karibu kuchangia!!Mbwembwe tumezizoea.
Nipo, nitaendelea kuwepo mkuu.Upo sahii kaka karibu kuchangia!!
Nelson...Karibu uendelee kuchangia na nadhani kuna vitu nilikuuliza kuhusu Hezbollah ndugu yangu!!
Nilikuuliza na sababu hukunijibu ndugu nikajua hauna majibu wa yale mambo niliyokuuliza!!!Pitia pitia pages za nyuma utaona ndugu yangu!!!!Hujaniuliza kitu kuhusu Hezbollah
Nelson...Sio fani mbaya wala uhaini kua mwanasiasa!!!!Ni jambo jema na ni karama pia sababu sio wote wana kipawa cha kua wanasiasa mzee wangu
Upo sahii mzee wangu kabisa kwa maoni yako ila nilileta mada kuhusu ubora wa IDF kwenye uwanja wa mapambano!!!Ukijadili ubora wa IDF kama raia au mwanasiasa huwezi kunielewa!!!!!Nelson...
Unaonekana kichekesho.
Humvutii msomaji kukusoma.
Kwa mfuatiliaji wa habari kimataifa atakua anajua,au ukitaka googleUshahidi?
Mbona alishindwa 2006 na hakupotea!?Kwa scenario ya Israel hilo lipo..
Alipotea ila alipatikana huko huko middle eastMbona alishindwa 2006 na hakupotea!?
Israel alishindwa vita akabaki na Golan heights. Yaani how comes Tanzania ilishindwa vita na Iddi Amin ila ikabaki na Kagera salient?Vita Ya Israel na Hezbollah iliisha kwa Israel kukimbia na kuondoa Naval Blockade Lebanon.
Report ya Israel Jeshi bungeni kwao wanakiri Vita ilikua ni failure why mnapenda kudanganya danganya?
Hio full report ya Jeshi, je Jeshi la Israel halijui ila nyie huku mnafahamu zaidi?
Pia ukiongelea vita ya Yom kipur ongelea na Tarehe, bila kuweka tarehe ni rahisi Sana kulishwa propaganda.
Event zilikuwa hivi
1. Egpty anampiga Israel ghafla na kuvunja defense system yote
2. Israel Hana cha kujibu amepanic anamtishia marekani anapiga Nyuklia
3. Marekani wanaingilia vita a namsaidia Israel na Mazungumzo ya Kusitisha vita yanaanza
4. Sharon anafikiri anaweza kuiteka Cairo ila alibutuliwa vizuri tu ushahidi upo wa kutosha, Jeshi la Israel lilistopishwa Ismailia halikuvuka hapo na wala haijawahi hata kufika km 100 kabla ya Cairo
5. Israel wakakubali kurudisha eneo la Sinai Egpty
6. Propaganda zikaanza
Nina ushahidi wa vita u, magazeti na source za kipindi vita vinatokea na immediate baada ya vita, Kuna vitabu kibao Tena Vimeandikwa na west.
Nelson...Upo sahii mzee wangu kabisa kwa maoni yako ila nilileta mada kuhusu ubora wa IDF kwenye uwanja wa mapambano!!!Ukijadili ubora wa IDF kama raia au mwanasiasa huwezi kunielewa!!!!!
Sio kweli, mbona wakati wa WW 2 walikua na jeshi kabisa kule Poland la wayahudi ila walichakazwa na Hitler kama Wana uwezo wa intelijensia au ni geniuses kwanini hawakuzuia mauaji Yale?
Hata hapo palestina hakuna maajabu zaidi ya kupewa matrillion Kila mwaka obviously hiyo pesa hata angepewa Jordan au Lebanon wangekuwa hatari sana. So labda useme pesa za mmarekani ndio za muhimu ila sio Mossad.
[emoji706][emoji706]Smart...
Sijui umetumia vigezo vipi kusema Marekani ikiingia vitani ni Iran itashinda vita.
Marekani walishindwa vita na Vietnam 1975.
Kipi kitakachowafanya washinde vita na Iran?
Kuhusu vita vya Israel na Iran Mungu apishie mbali madhara yake yatakuwa makubwa sana.
Israel haiwezi kuhimili vita vya muda mrefu hata kama itasaidiwa na Marekani.
Waandishi ni binadamu tu. Hayo ni mawazo yaoPlumber...
Katika kitabu hicho hapo chini katika Epilogue yaani Jumuisho waandishi wanaeleza kuwa Israel inataka sana Marekani ipigane na Iran.
Waandishi wanahitimisha kwa kusema kuwa Israel bila msaada wa Marekani hawaiwezi Iran.
View attachment 2509329
[emoji706][emoji706]Smart...
Hakika hizo ni hoja nzito sana.
Hebu nielimishe ilikuwaje Marekani akashindwa Vietnam?
Kuna watu humu unawakera kwa hiki ulichoandika. Ingawa hiki ulichokiandika ndio ukweli wenyewe.Israel ni wachache sana, ila Sasa , Fikiria opereshen zao za kijasusi ni Dunia nzima
Leader...Waandishi ni binadamu tu. Hayo ni mawazo yao