Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
-
- #461
Usichukue taarifa nyeti kwa vyanzo vya mtandaoni na kuziamin mzee wangu!!!!Idara za ujasusi na ulinziNelson...
Nichukulie kuwa huna na hujui ulipozipata.
Unapuuza taarifa.
Nifahamishe sababu ya kufanya hivyo.
Rank hizi sikuweka mimi.
Nimezikuta mtandaoni na nimeweka source.
Nelson...Usichukue taarifa nyeti kwa vyanzo vya mtandaoni na kuziamin mzee wangu!!!!Idara za ujasusi na ulinzi
Andika kwa kirefu mkuu, niliwahi soma operation thunder lakini kitabu hakikuwa na kurasa kama robo za mwisho.Alifia ndani ya ndege kwa majeraha ya risasi wakati wanatoka Entebbe!!! Na alikuwa wa mwisho kupanda ndege sababu alikataa kumuacha Dora Bloch aliekuwa hospital ambapo Amin alimuua baadae!!! Na alitaka kuzibeba zile maiti tatu za mateka walikufa wakati wanaokolewa Pasco Cohen na Jean Jaques Mimoun ambao waliwapiga risasi bahati mbaya na Ida Brovochovich aliyeuliwa na watekaji!!!
Na alikuwa anawabeba na kuwapakia kwenye ndege makomandoo watano wa Israel waliojeruhiwa mmoja baada ya mwingine huku akipigwa risasi za mgongoni wakati ndege ikiwa inakimbia kwenye run ways na akiwa amejifunga kamba kiunoni ili ndege isimuache!!!!Brave commando of all time Jonathan Ntenyahu!!!
Story za kwenye movie hiz..tena zile series za mission impossible 😂 maana kuna uongo na fiction zilizotukuka mule......hata uwe koma do wa wapi sijui nakuapia bodaboda tu hiz Fekon huwez kimbizana nayo ukaishikaMna stori za kisengerema nyie, ndege ikiwa kwenye runway inajiandaa kuruka unaweza ikimbilia?
Upo sahii kwa maoni yako mzee wangu!!!!Nelson...
Mimi sijasema kuwa taarifa za mitandaoni ni za kuaminika moja kwa moja.
Nimekuomba taarifa ambazo ulisema unazo.
Bahati mbaya umetufahamisha kuwa huna.
Kwa hali ya kawaida zingeweza kupatikana lakini wewe umeshindwa kuzipata.
Sababu ulizotupa ni kuwa umezipuuza.
Nikakuuliza nini sababu ya kuzipuuza taarifa hizo?
Jibu lako ni lile la mwanafunzi mwenye uwezo mdogo.
Nakusihi acha ukaidi andika vizuri.
Hii ni kwa faida na heshima yako mbele ya sisi tunaokusoma.
Video: Iran unveils underground air base with jets armed with long-range missiles
Iran’s army unveiled its first underground air force base, named “Eagle 44,” on Tuesday, state media reported.State news agency IRNA described the base asenglish.alarabiya.net
Hii habari ukipata nafasi ya kukutana na wakufunzi wa mambo ya kijeshi watakuelezea kwa undani zaidi!!!Kwenye movie na series kuna mambo mengi yameachwa au kuondolewa kwa sababu za kijasusi na kiusalama zaidi,,Nikitulia nitakuja na makala zaidi kuhusu operation ambazo Jonathan Ntenyahu""Lion"alishiriki kwa ufanisi mkubwa kuziasisi au kuziongoza kwa niaba ya IDF!!!Ninayoweza nitaandika japo sio mwandishi mzuri kitaaluma na nisiyoweza nitaacha kwa sababu za kiusalama zaidi,maana hizi mada za kijeshi zinahitaji uangalifu wa kinaAndika kwa kirefu mkuu, niliwahi soma operation thunder lakini kitabu hakikuwa na kurasa kama robo za mwisho.
Upo sahii kwa maelezo yako na maoni yako kama raia wa kawaida na mchambuzi wa mambo ya kiraia mzee wangu ila kwa watu wa medani za kijeshi ni tofauti sana kimaoni na kimtazamo!!!Kuhusu kuandika ucjali nitajifunza kuandika vizuri mzee wanguNelson...
Mimi sijasema kuwa taarifa za mitandaoni ni za kuaminika moja kwa moja.
Nimekuomba taarifa ambazo ulisema unazo.
Bahati mbaya umetufahamisha kuwa huna.
Kwa hali ya kawaida zingeweza kupatikana lakini wewe umeshindwa kuzipata.
Sababu ulizotupa ni kuwa umezipuuza.
Nikakuuliza nini sababu ya kuzipuuza taarifa hizo?
Jibu lako ni lile la mwanafunzi mwenye uwezo mdogo.
Nakusihi acha ukaidi andika vizuri.
Hii ni kwa faida na heshima yako mbele ya sisi tunaokusoma.
Video: Iran unveils underground air base with jets armed with long-range missiles
Iran’s army unveiled its first underground air force base, named “Eagle 44,” on Tuesday, state media reported.State news agency IRNA described the base asenglish.alarabiya.net
Nelson...Upo sahii kwa maelezo yako na maoni yako kama raia wa kawaida na mchambuzi wa mambo ya kiraia mzee wangu ila kwa watu wa medani za kijeshi ni tofauti sana kimaoni na kimtazamo!!!Kuhusu kuandika ucjali nitajifunza kuandika vizuri mzee wangu
Asante kwa huruma yako mzee wangu ni jambo la kutia faraja kuonewa huruma na binadamu wenzio ila mada hii ni ubora wa IDF na Mossad katika uwanja wa mapambano na tunajadili kama wachambuzi wa maswala ya kijeshi hatuchambui kama raiaNelson...
Nakuhurumia sana.
Umekipenda kitu huna majaaliwa nacho.
Hiyo jeshi na raia umeipenda sana lakini sioni chochote.Asante kwa huruma yako mzee wangu ni jambo la kutia faraja kuonewa huruma na binadamu wenzio ila mada hii ni ubora wa IDF na Mossad katika uwanja wa mapambano na tunajadili kama wachambuzi wa maswala ya kijeshi hatuchambui kama raia
Trainee,Nelson kaja kiushabiki akakutana na mhenga Mohamed Said dakika mbili nyingi kapigwa za uso
Nashukuru sana mzee wangu kwa maoni yako kama raia na mchambuzi wa mambo kiraia!!!Lakini kwa upande wa pili sisi tunaochambua mambo kwa jicho la kijeshi na tuna uzoefu wa frontline activities tunajua IDF ni jeshi bora kabisa katika uwanja wa mapambano ya aridhini na anganiHiyo jeshi na raia umeipenda sana lakini sioni chochote.
Kila ukienda ukirudi unataja lakini hakuna ulichoandika.
Nimekuelekeza kwenye post za Smart.
Msome.
Naumia ninavyoona unahangaika kujieleza kuwa wewe ni mtu wa ofisi no. 1, jeshi.
Nimekulishia West Point.
Hamna kitu.
Nimekuwekea David Kimche, Abdul Hakim Ameir.
Hamna kitu.
Bar Lev.
Tupu.
Nikaenda nyuma kwa majemadari wa zamani Ahmed Mohamed Mahdi na Gordon Pasha.
Vyuo vyote vya kijeshi wanawasomesha hawa.
Zero.
Kuna mtu kakuambia kuwa ujuacho wewe na ndiyo kichaka chako ni "front line."
Field Marshall Josip Tito na Partisan Army.
Nakuletea mmoja zaidi Erwin Rommel The Desert Fox.
Pole sana.
Nelson...Nashukuru sana mzee wangu kwa maoni yako kama raia na mchambuzi wa mambo kiraia!!!Lakini kwa upande wa pili sisi tunaochambua mambo kwa jicho la kijeshi na tuna uzoefu wa frontline activities tunajua IDF ni jeshi bora kabisa katika uwanja wa mapambano ya aridhini na angani
Nelson...Nashukuru sana mzee wangu kwa maoni yako kama raia na mchambuzi wa mambo kiraia!!!Lakini kwa upande wa pili sisi tunaochambua mambo kwa jicho la kijeshi na tuna uzoefu wa frontline activities tunajua IDF ni jeshi bora kabisa katika uwanja wa mapambano ya aridhini na angani
Hujui usemalo. Jeshi gani bora linaendeshwa na Marekani karibu kwa kila kitu? Kwa utapeli nakubaliana nawe.Katika medani za kivita IDF ndio jeshi bora zaidi kwa record za kukacover military missions duniani akiwa na washirika wake na katika kitengo cha ujasusi Mossad ndio wanaongoza positive plus katika mission zaidi ya 1000 akiwa na washirika wake!!!Mataifa mengine yanafeli wapi?
Asante kwa maoni yako kama raia mzee wangu tuendelee na mada yetu kuhusu ubora wa jeshi la IDF na Mossad katika uwanja wa mapambanoNelson...
Vichekesho na vituko vikubwa.
Uzi huu mbona sijawaona wanajeshi ila wewe tena kwa kujitengaza ati wewe mwanajeshi.
Umekuja JF lini?
Ushawaona wanajeshi wanajitangaza humu?
Asante kaka kwa maoni yako kama raia ila tuchambue kama wadau wa kijeshi karibu sanaHujui usemalo. Jeshi gani bora linaendeshwa na Marekani karibu kwa kila kitu? Kwa utapeli nakubaliana nawe.