IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Je US military ni ya ngapi kwa ubora?.... kumbuka US hutoa mabillioni ya dola kufadhili ulinzi wa Israel mfano teknolojia ya Iron dome.

T14 Armata HIMARS Sela Son
 
Daah! Mkuu umezidisha chumvi asee.
 
Je US military ni ya ngapi kwa ubora?.... kumbuka US hutoa mabillioni ya dola kufadhili ulinzi wa Israel mfano teknolojia ya Iron dome.

T14 Armata HIMARS Sela Son
Swali zuri mkuu sababu nilisema IDF ni jeshi bora kabisa ila sikusema namba ngapi ila ukija kwa ranki USA inaongoza kwa mbali sana kuliko nchi nyingine yoyote ile!!!Kutoa hela kufadhili project,s na kuwa na wanasayansi wa kijeshi wabunifu ni vitu viwili tofauti ila huwezi kutenganisha CIA na MOSSAD ni washirika!!!Katika ranki za majeshi bora duniani USAF,IDF zimo sababu muundo wa marine,s wa nchi kavu wa USA ni sawa kabisa na IDF tofauti ni ndogo!!!Kuhusu project ya iron dome ripoti nyingi hazina ukweli na mossad hawajotoa ripoti kamili kwa maslahi ya kiulinzi wao na washirika wao!!
 
Umesomea jeshi au unaishi karibu na kambi za jeshi? Una andika upuuzi kila wakati na bora ubaki tu kama shabiki kuliko kujiona mchambuzi.
 
We talk about underground projects za ujasusi Mossad wanashirikiana na mashirika ya kijasusi ya Morroco na Algeria na wanawafundisha makachero wa nchi zote mbili jinsi ya kupambana na wapinzani wao kisiasa ndani na nje ya nchi zao hasa wale wenye siasa kali wanaotaka kuchukua madaraka!!!Tofautisha kati ya siasa za majukwaani na kwenye television na underground project,s za mashirika ya kijasusi ya nchi husika!!!
 
Swali jepesi kama hilo, unaliita tusi!! Jeshi gani hilo ulilopitia?
Wasomi hatuna lugha kama hizo za kejeli na ghariba kama kusema umeandika""Upuuzi"""!!!Sisi wasomi tunaheshimu maoni ya kila mtu na tunajadiliana kwa heshima na taadhima kama wasomi!!!Wewe umeshasema nimeandika"Upuuzi mtupu""basi haina haja ya mimi kufanya mjadala na wewe!!!Acha niendelee na wadau wengine
 
Israel ni wachache sana, ila Sasa , Fikiria opereshen zao za kijasusi ni Dunia nzima
Baada ya Hitler kuwachinja Kama kuku waliamua kukataa kuchinjwa hovyo, baada ya 1948kuundwa kwa Taifa la Israel, First priority was the security of the state of Israel maana wanazungukwa na maadui zao kila kono.
Maana Qur'an 5:51 inawataka Waislamu kutokua na urafiki na mayahudi na WAKRISTO [emoji137][emoji137] Sasa hapo ni lazima wawe tayari kila Wakati.
Unakumbuka six days war of 1967, Israel vs all Islamic countries in the middle East.
 
Tuanze na vita ya 2006 na kumbuka kipindi hicho ndo Hizibullah ilikuwa imeanzishwa hivyo ilikuwa dhaifu ukilinganisha na sasa.
Kaka upo serious kweli kusema Hezbollah ilianzishwa 2006 au wewe sio mchambuzi katika medani za kijeshi??????Unajua mwaka 1982 majeshi ya Israel yalipovamia lebanon,,,washia wakisaidiwa na iran walianzisha kikundi cha Hezbollah chini ya uangalizi wa Ayatolah Ruhollah Khomein au hujui kaka?????
 
Hujui tofauti ya swali na tusi na bado unajikaza kujiita msomi?
 
Hivi vita navikumbuka sana na katika vyuo vya kijeshi historia yake waga ni somo pekee linalojitegemea na wanafunzi wanafanyia mitihani kaka!!!
 
kiboko yao ni Iran
Katika lipi kaka tufafanulie ila mada tunazungumzia ubora wa majeshi katika viwanja vya mapambano na ubora wa mashirika ya kijasusi!!!Unaweza kutuletea ubora wa jeshi la ulinzi la iran na combat na military assignment walizocover kwa mafanikio makubwa duniani!!!Tutajie hata tano tuendeleze mjadala ndugu yangu @ Dronedrake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…