IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Hapo Middle East waliamua normalize relationship ili waweze kumzuia common enermy, Iran
 
Kweli ila
 
😂😂😂 kuna speech yake moja mfalme wa hiyo nchi anatolea mfano kupitia migomba
 
Sasa leo hapa tunazungumza kama wanajeshi uwanja wa mapambano mzee wangu!!!Tunazungumzia vitu tulivyoshuhudia kwa macho na ndio maana mada ni IDF na ubora wao!!!Karibu sana
Nelson...
Naona umepata hofu baada ya kuniona nimeingia kuchangia.
Allah ana maajabu yake.

Unadhani kuwa mimi siko katika club hii yako.
Kila utakavyonifikiria kuwa basi itakuwa siyo.

Hapa nilipoanza kuandika nikawa naitwa kwa kejeli, ''ustadh,'' ''mufti,'' ''sheikh.''
Nilipata sana tabu kuwafahamisha kuwa sinazo sifa hizo.

Baadae wakanijua kuwa siwezi kuwa na vyeo hivyo lakini kwa wao kuona picha nilizoweka nifahamike.

Nisome kwa makini kuna kitu utajifunza kutoka kwangu.
 
Unamfahamu léo major vizuri? Bado sijaona morden soldier anayekuta hata robo ya uthubutu wa huyu jamaa.
 
Ubora wao unajulikana kuanzia 1948,1967, 1973

Hadi leo
Himars,
Israel ilianza kudhoofika baada ya Vita Vya Yom Kippur 1973.
Katika vita na Hizbullah 2006 ndipo ile ''myth'' ya nguvu za Israel ilipovunjika hadi leo.

Nimepata kualikwa sehemu fulani mara mbili Zanzibar na Dar es Salaam kuzungumza kuhusu hili.
 
Nishasoma hivo vitaabu vya uzayoni lakini naheshimu sana michango ya wazee kama ninyi nashukuru pia
Duc...
Kuna sehemu naweza mimi nikachangia lakini katika kusoma somo utajifunza mengi Google.

Vitabu vyote viko hapo pamoja na rejea juu ya rejea (reference and cross reference) kwani hata mie huko ndiko tegemeo langu hata mimi.
 
Duc...
Kuna sehemu naweza mimi nikachangia lakini katika kusoma somo utajifunza mengi Google.

Vitabu vyote viko hapo pamoja na rejea juu ya rejea (reference and cross reference) kwani hata mie huko ndiko tegemeo langu hata mimi.
Sawa saw mzee wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…