benazirjosemarie
JF-Expert Member
- Dec 22, 2021
- 298
- 539
Tz hata mpewe usd bil 500 kila mwaka hamuwez fanya chochote zaid ya kuiba tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina lake na cheo chake katika mossad na shirika gani la ujasusi katika serikali ya iran limehusika ni vyema ukatujuza kakaNi wiki 2 tu zimepita iran wamemuua afisa mwandamizi wa Mossad ndani ya Israel we unasema nini
Mimi nimekaa na wahusika wa pande zote mbili namaanisha maveteran wa vita hii ya mwaka 1973!!!Mzee said unaongea story sio experience ya vita!!!!Na mada ni ubora wa IDF kwenye uwanja wa mapambanoT14...
Uliyoandika ndivyo upande mmoja unavyosema.
Ukiangalia upande mwengine ni kinyume na hayo.
Unategemea CNN kujua experience ya uwanja wa vita kwa vikosi vya IDF au Hezbollah!!!!Ebu kua serious kidogo na millitary issues mzee wanguT14,
Sijakukwepa ukiona kimya jua nimetingwa nami si kijana kama wewe.
Sikawii kusinzia.
Udhaifu wa Israel si katika Yom Kippur bali baada ya pale katika tathmini na walipoingia vitani na Hizboullah IDF haikuwa ile iliyozoeleka.
Israel haikutoka katika uwanja wa vita kama ilivyozoeleka.
Watangazaji wa CNN walikuwa wanasema Wayahudi wamerudi kwao vichwa chini wamejiinamia.
Haya yalikuwa matangazo mubashara.
Sasa hili ni suala la mtazamo wa kila mtu anavyoona.
Lakini nimependa sana hii ya Israel kupigana na Hizboullah kundi la kigaidi.
Iko siku ikipatikana nafasi nitakueleza matatizo makubwa yaliyonifika na serikali ya Marekani kwa kusema maneno kama yako katika mkutano wa kimataifa.
Niliwaita Marekani magaidi.
Pasi yangu ya kusafiria ikaorodheshwa "for Special Treatment," ikawa dunia nzima "Passport Control" na Airport Security hawakai mbali na mimi.
Hii kwa miaka mingi.
Nilipofika New York nikagundua pia hata banks zina taarifa zangu.
Kisa kirefu.
Kuna mtu anaitwa Nelson kanitisha sana hapa kila saa ananiuliza kama nimewahi kujifunza silaha.
Mzee Said hii mada niliyoleta wewe unaongea story za vitabuni hujawahi kuingia frontline au kushika bunduki na kupambana!!!Mada nazungumzia ubora wa IDF uwanja wa mapambano kulinganisha na majeshi mengine!!!Wewe unaleta siasa na vitabu wakati mada ni ubora wa jeshi kupigana hata katika mazingira magumu na kusurvive!!!2006 vita vya IDF na Hezbollah wewe unaongea story za wapambe wasio na weledi wa kijeshi na hukua frontline kushuhudia mapiganoT14,
Sijakukwepa ukiona kimya jua nimetingwa nami si kijana kama wewe.
Sikawii kusinzia.
Udhaifu wa Israel si katika Yom Kippur bali baada ya pale katika tathmini na walipoingia vitani na Hizboullah IDF haikuwa ile iliyozoeleka.
Israel haikutoka katika uwanja wa vita kama ilivyozoeleka.
Watangazaji wa CNN walikuwa wanasema Wayahudi wamerudi kwao vichwa chini wamejiinamia.
Haya yalikuwa matangazo mubashara.
Sasa hili ni suala la mtazamo wa kila mtu anavyoona.
Lakini nimependa sana hii ya Israel kupigana na Hizboullah kundi la kigaidi.
Iko siku ikipatikana nafasi nitakueleza matatizo makubwa yaliyonifika na serikali ya Marekani kwa kusema maneno kama yako katika mkutano wa kimataifa.
Niliwaita Marekani magaidi.
Pasi yangu ya kusafiria ikaorodheshwa "for Special Treatment," ikawa dunia nzima "Passport Control" na Airport Security hawakai mbali na mimi.
Hii kwa miaka mingi.
Nilipofika New York nikagundua pia hata banks zina taarifa zangu.
Kisa kirefu.
Kuna mtu anaitwa Nelson kanitisha sana hapa kila saa ananiuliza kama nimewahi kujifunza silaha.
Ningependa wenye uzoefu na vita ndio wajadili hili!!!Wewe mzee wangu ni mwanasiasa sio mtaalamu wa medani za vita utatoka nje ya mada!!!!Tunazungumzia ubora wa IDF kupambana na kusalimika hata katika mazingira magumu na tunazungumzia uzoefu wa uwanja wa mapambano!!!!Au mzee ushawahi kua mwanajeshi wa kikundi au jeshi lolote lile utupe uzoefu wako hapa???Ahsante,
Naendelea kujadili na wengine kama unavyoona wananiuliza maswali.
Mada ni ubora wa IDF na Mossad!!Israel hii ambayo wakiona picha ya Hitler wana kimbia kujificha
Mzee Said wewe umetoka nje ya mada mfano mdogo ni kua hujui hata pande zote mbili kwenye vita vya 2006 zilipoteza askari kiasi gani na mateka kila upande walikua kiasi gani,aina gani za mbinu walipigana,aina za mabomu yaliyotumiwa,aina za makombora yaliyotumika na nani aliharibu working structure ya kijeshi kwa kiasi kikubwa!!!Huna taarifa ya uhalisia kwenye uwanja wa mapambano unaleta siasa na taarifa za waandishi ambao hata bunduki hawajui kushika na kuingia frontline kushuudia vita na makali yake!!!Proved,
Hili suala la ushindi wa Hizbullah limezungumzwa sana.
Nami nimelieleza kwa kirefu katika mhadhara niliofanya State University of Zanzibar (SUZA) 2017.
Angalia post #189:
''Vita vilipoanza fikra za wengi katika nchi za Kiarabu zilirejea katika Vita Vya Siku Sita vya mwaka wa 1967 na wengi waliamini kuwa Hizbullah watamalizwa kwa muda mfupi kwa kusagwasagwa na Israel.
Hili halikutokea.
Vita vilipiganwa kwa siku 34 katika mwezi wa Julai na Agosti hadi pale Umoja wa Mataifa ilipoingia kati na kuweka makubaliano ya kuweka silaha chini na kumaliza vita.
Wayahudi kwa mara ya kwanza katika historia ya mapambano yao na Waarabu walionekana katika stesheni nyingi kubwa za televisheni duniani wakirudi Israel kutoka uwanja wa mapambano wameinamisha chini vichwa vyao.
Israel ilikuwa kwa mara ya kwanza imeonja kipigo katika vita.
Hapakuwa na shamrashamra ziliyozoeleka za ushindi dhidi ya majeshi ya Kiarabu.
Hizbullah ilikuwa imevunja, ‘’myth,’’ ile fikra ya kuwa Wayahudi hawawezekani.
Hassan Nasrallah kiongozi wa Hizbullah alikuwa akiuliza wakati wa vita, ‘’Wako wapi askari wa Kiyahudi mbona hatuwaoni katika uwanja wa vita?
Tunachoshuhudia ni ndege za Kiyahudi wakipiga mabomu nyumba za raia.’’
Baada ya vita, ilipofika wakati wa kubadilishana mateka Wayahudi walipata fadhaa zaidi pale walipokuwa wao wanapokea majeneza ya askari wao waliouliwa vitani Israel ikiwaachia huru askari hai wa Hizbullah.''
Hii ni mada ya kijeshi tunazungumzia uzoefu na ubora wa jeshi husika wewe unaleta siasa na udini!!!Ubora wa IDF na zanzbar wapi na wapi mzee wangu!!!!Ndio maana nikakuuliza ushawahi kua katika uwanja wa mapambano ukikabiliana na mpinzani ana kwa ana????Utazungumziaje mambo ya kijeshi hata bunduki hujui kushika mzee wangu?????Au unadhani vita vinapiganwa mdomoni na kwenye mihadhara????Proved,
Hili suala la ushindi wa Hizbullah limezungumzwa sana.
Nami nimelieleza kwa kirefu katika mhadhara niliofanya State University of Zanzibar (SUZA) 2017.
Angalia post #189.
Vita Ya Israel na Hezbollah iliisha kwa Israel kukimbia na kuondoa Naval Blockade Lebanon.Mzee wangu Mohamed Said napingana na wewe hapa. Unasema Israel ilionyesha udhaifu tangu Yom Kippur mwaka 1973 kwa sababu zipi. Iipigwa surprise invasion na majeshi ya Egypt na Syria, Syria wakachukua Golan heights na Egypt wakachukua Sinai kwenye battle za mwanzo. Israel ikapiga counterattack ikaichukua Golan heights nzima na hata eneo ambalo hawakuwahi kuwa nalo na mpaka leo ni lao. Udhaifu wao uko wapi, kama ni dhaifu si Syria ingeteka Golan heights ikabaki nayo, mpaka leo inadai lile eneo.
Eneo la Sinai ni la Egypt lilikuwa limekaliwa na Israel kimkakati kama ambavyo Golan heights ni ya Syria ingawa imekaliwa na Israel, Sinai ilirudishwa kwa Egypt ili Anwar Saddat aitambue Israel kama nchi halali. Ndio maana Egypt ikaondolewa kwenye Arab League. Win win situation kwa Israel na Egypt. Hata Syria inaweza rudishiwa milima yake inhabitable ikifikia makubaliano na Israel.
Saddat alisimamisha mapigano baada ya jeshi lake kuzingirwa na Israel. Hakulazimishwa kusimamisha mapigano, angeendelea ili jeshi lake lipigwe na mateka wawe wengi. 3rd Army ya Misri ilizingirwa na majeshi ya Israel yakiongozwa na General Adan na 401st Armoured Brigade. Wanajeshi 20,000 wa Misri wamewekwa katikati, Israel iko inafanya advancement kuitafuta Cairo iliyokuwa less than 40 miles. Ulitaka Anwar Saddat afanyeje, ujue Waarabu wanafiki kina Saudi Arabia na wenzake wametuma misaada kidogo wako wanakunywa kahawa uko Egypt na Syria zinateseka zenyewe.
Wakati huo pale Syria kama unavyojua Damascus ni mji uko located eneo baya huwa sipendi vile, Israel ilikuwa imepanga shambulizi na imebakiza 10 miles kuifikia Damascus na Al Assad yuko desperate anaomuomba Saddat apigane mpaka mwisho ili kuipa relief Syria. Ambacho hawa wakurupukaji hawakuzingatia ni kwamba kila mtu anapigana kwa interest zake, Egypt za kwake zikitimizwa Syria shauri yako.
USSR ikatishia kuingia vitani zaidi, kumbuka hapo walishatoa misaada wa kila aina. Marekani na Uingereza zimesaidia Israel na Arab League plus USSR zimesaidia Waarabu. Israel ikaachana na kuiteka Damascus ila ikabaki na Golan heights ili ifanye monitoring.
Hakuna aliyelazimishwa ceasefire. Wangeendelea kupigana waambulie kupoteza maeneo mengine.
Na hapo kwa Hezbollah. Hicho ni chama chenye military wing, wala Hezbollah haijawahi unda serikali ya Lebanon. Iko termed kama kundi la kigaidi na usijifanye hujui tofauti ya kupigana na magaidi na kupigana na nchi. Israel haikupigana na Lebanon mwaka 2006, walipigana na kundi la kigaidi. Ile vita ingekuwa ni dhidi ya Lebanon ingeisha mapema sana. Na hata hivyo Israel haikushindwa, iko palepale ilipokuwa hadi leo. Wewe mwenyewe unajua lengo la Hezbollah ni lipi, limekamilika?
Achana nae!Umesomea kozi za kijeshi kaka????Waliosomea wanauelewa huu uzi
Uwe unakaa kimya kama huna unalolijua. Unataka kuonekana unajua lakini hakuna unachojua wala kuelewa.Wakati bin Laden alishusha majengo katikati ya marekani
Humu hapakufai nenda kwenye mada za watu wenye mawazo rahisi kule na wenye elimu za kusuasua. Elimu za kutetea wenye division zero kufeli kwao na kuwaponda wenye division one kwamba watakuja kuishia kutaabika na kuajiriwa na wenye zero! 😂😂😂Mna stori za kisengerema nyie, ndege ikiwa kwenye runway inajiandaa kuruka unaweza ikimbilia?
Nelson....Hii ni mada ya kijeshi tunazungumzia uzoefu na ubora wa jeshi husika wewe unaleta siasa na udini!!!Ubora wa IDF na zanzbar wapi na wapi mzee wangu!!!!Ndio maana nikakuuliza ushawahi kua katika uwanja wa mapambano ukikabiliana na mpinzani ana kwa ana????Utazungumziaje mambo ya kijeshi hata bunduki hujui kushika mzee wangu?????Au unadhani vita vinapiganwa mdomoni na kwenye mihadhara????
Baba...Vita Ya Israel na Hezbollah iliisha kwa Israel kukimbia na kuondoa Naval Blockade Lebanon.
Report ya Israel Jeshi bungeni kwao wanakiri Vita ilikua ni failure why mnapenda kudanganya danganya?
Hio full report ya Jeshi, je Jeshi la Israel halijui ila nyie huku mnafahamu zaidi?
Pia ukiongelea vita ya Yom kipur ongelea na Tarehe, bila kuweka tarehe ni rahisi Sana kulishwa propaganda.
Event zilikuwa hivi
1. Egpty anampiga Israel ghafla na kuvunja defense system yote
2. Israel Hana cha kujibu amepanic anamtishia marekani anapiga Nyuklia
3. Marekani wanaingilia vita a namsaidia Israel na Mazungumzo ya Kusitisha vita yanaanza
4. Sharon anafikiri anaweza kuiteka Cairo ila alibutuliwa vizuri tu ushahidi upo wa kutosha, Jeshi la Israel lilistopishwa Ismailia halikuvuka hapo na wala haijawahi hata kufika km 100 kabla ya Cairo
5. Israel wakakubali kurudisha eneo la Sinai Egpty
6. Propaganda zikaanza
Nina ushahidi wa vita u, magazeti na source za kipindi vita vinatokea na immediate baada ya vita, Kuna vitabu kibao Tena Vimeandikwa na west.
Nelson...Mimi nimekaa na wahusika wa pande zote mbili namaanisha maveteran wa vita hii ya mwaka 1973!!!Mzee said unaongea story sio experience ya vita!!!!Na mada ni ubora wa IDF kwenye uwanja wa mapambano
Unategemea CNN kujua experience ya uwanja wa vita kwa vikosi vya IDF au Hezbollah!!!!Ebu kua serious kidogo na millitary issues mzee wangu
BabuNelson...
Mimi siko hapa kuhukumu CNN au chombo chochote kilichokuwa kinarusha taarifa za vita vile vya 2006.
Wala siko hapa kupambana na wewe nikushinde.
Maisha yangu yote mimi ni mtu wa kueleza ninachojua.
Nisome toka toka nilipoanza kuchangia uzi huu.
Nina hakika utanifahamu kama nina elimu ya somo lililoko mezani au sina nijuacho.
Nimekuwekea picha niko State University of Zanzibar, (SUZA) natoa mhadhara kuhusu vita vya Hizboullah na Israel 2017.
Kwa nini nialikwe mimi.
Kwa nini hukualikwa wewe?
Hahahaaa, eti komando, acha story za movie wewe, unajua ili ndege iruke inakuwa kwenye Kasi gani? Hilo tukio nilishaona movie yake miaka ya 90 na majuzi tu nimeona wameliigiza tena kwenye vipindi vya real respondersHumu hapakufai nenda kwenye mada za watu wenye mawazo rahisi kule na wenye elimu za kusuasua. Elimu za kutetea wenye division zero kufeli kwao na kuwaponda wenye division one kwamba watakuja kuishia kutaabika na kuajiriwa na wenye zero! 😂😂😂
Kwa sababu huna ujualo unahisi vinashindikana. Wale ni makomando sio kama polisi jamii wa Tanzania wanaovizia mkojoe kwenye ukuta wawakamate wakawapandishe vizimbani mahakama ya Ilala
Kaka wewe endelea tu kuwadanganya wagalatia wenzio, hao Israel vita kibao wamefeli, ndiomaana hata Hitler aliwachinjilia mbaliHumu hapakufai nenda kwenye mada za watu wenye mawazo rahisi kule na wenye elimu za kusuasua. Elimu za kutetea wenye division zero kufeli kwao na kuwaponda wenye division one kwamba watakuja kuishia kutaabika na kuajiriwa na wenye zero! 😂😂😂
Kwa sababu huna ujualo unahisi vinashindikana. Wale ni makomando sio kama polisi jamii wa Tanzania wanaovizia mkojoe kwenye ukuta wawakamate wakawapandishe vizimbani mahakama ya Ilala
Timing,Babuuuuuu
Kwani kutoa mhadhara si kukusanya tu taarifa based on your sources na kuzipackage na kudeliver?
Hizi podiums zisitudanganye sana