Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Hahahaaa, eti komando, acha story za movie wewe, unajua ili ndege iruke inakuwa kwenye Kasi gani? Hilo tukio nilishaona movie yake miaka ya 90 na majuzi tu nimeona wameliigiza tena kwenye vipindi vya real
Nelson...Mzee Said hii mada niliyoleta wewe unaongea story za vitabuni hujawahi kuingia frontline au kushika bunduki na kupambana!!!Mada nazungumzia ubora wa IDF uwanja wa mapambano kulinganisha na majeshi mengine!!!Wewe unaleta siasa na vitabu wakati mada ni ubora wa jeshi kupigana hata katika mazingira magumu na kusurvive!!!2006 vita vya IDF na Hezbollah wewe unaongea story za wapambe wasio na weledi wa kijeshi na hukua frontline kushuhudia mapigano
Nimeshakujibu hayo unayorejea kuniuliza na kusema mara kwa mara na sasa umekuja na jipya kabisa.
Unatueleza kuwa umekaa na wahusika wa Vita Vya Hizbullah na Israel (2006).
Wala sitakuomba ushahidi kwa hayo uliyotueleza.
Wazungu wanaita, ''Cock and bull story.''
Mimi nina kawaida moja huwa sighadhibiki hata ukinutukana sirudishi tusi nitakunasihi tu.
Nafurahi sana kukusoma.
Hii ndiyo raha ya mitandao ya kijamii.
Inaruhusu kusema lolote.