Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
Wayahudi ni watu wenye maadili, utu na heshima.
Yahya Sinwar(kiongozi mkuu wa hamas) october 7th aliamuru wanajeshi wake wavuke mpaka, waue raia ikiwamo watoto, na kuwabaka wanawake wa kiyahudi, lakini siku ya kufa kwake hawakuburuza mwili wake kama Hamas walivyofanya na miili ya victims wa October 7th.
Hawakumkata kichwa kama Hamas walivyowafanyia waisraeli October 7th.
Hawakuburuza mwili wake kama wengine walivyofanya kwa Gaddafi.
Hawakuikanyaga maiti yake kwa miguu kama baadhi ya Wairaqi walivyofanya kwa Saddam, wala hawakumtemea mate mwili wake licha ya hali na udhoofu aliokutwa nao kiumbe huyu.
Badala yake, waliuweka mwili huo kwenye mfuko mweusi na kuusafirisha kwa heshima kamili.
Hii ndiyo tofauti kati ya ushenzi na ustaarabu, tofauti kati ya watoto wa giza na watoto wa nuru, ndio tofauti kati ya wale wanaowaheshimu walio hai na wafu, na wale wasioheshimu walio hai na wafu, Hii ndio tofauti kati ya maadili ya shujaa, na maadili ya mkimbizi mwoga ambaye mwisho wake ulikuja, kama panya aliyeoza, akaangamia.
Hii ndio tofauti kati ya Nuru na Giza
Swali:
Tumeona IDF ikionesha heshima kwa adui zake, Je, wangekuwa wao wangeonesha heshima hii?