IDF ni Jeshi lenye maadili, utu na heshima, hongereni kwa kuonesha maturity

IDF ni Jeshi lenye maadili, utu na heshima, hongereni kwa kuonesha maturity

Gol D Roger

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2023
Posts
2,316
Reaction score
6,082
Wayahudi ni watu wenye maadili, utu na heshima.

Yahya Sinwar(kiongozi mkuu wa hamas) october 7th aliamuru wanajeshi wake wavuke mpaka, waue raia ikiwamo watoto, na kuwabaka wanawake wa kiyahudi, lakini siku ya kufa kwake hawakuburuza mwili wake kama Hamas walivyofanya na miili ya victims wa October 7th.

Hawakumkata kichwa kama Hamas walivyowafanyia waisraeli October 7th.
Hawakuburuza mwili wake kama wengine walivyofanya kwa Gaddafi.
Hawakuikanyaga maiti yake kwa miguu kama baadhi ya Wairaqi walivyofanya kwa Saddam, wala hawakumtemea mate mwili wake licha ya hali na udhoofu aliokutwa nao kiumbe huyu.

Badala yake, waliuweka mwili huo kwenye mfuko mweusi na kuusafirisha kwa heshima kamili.

Hii ndiyo tofauti kati ya ushenzi na ustaarabu, tofauti kati ya watoto wa giza na watoto wa nuru, ndio tofauti kati ya wale wanaowaheshimu walio hai na wafu, na wale wasioheshimu walio hai na wafu, Hii ndio tofauti kati ya maadili ya shujaa, na maadili ya mkimbizi mwoga ambaye mwisho wake ulikuja, kama panya aliyeoza, akaangamia.

Hii ndio tofauti kati ya Nuru na Giza
1000375784.jpg

Swali:
Tumeona IDF ikionesha heshima kwa adui zake, Je, wangekuwa wao wangeonesha heshima hii?
 
Nafkiri hujui unachokiongea, wayahudi wanauwa watoto wachanga na wanawake Gaza, ni ujinga uliopitilia kudhani Wayahudi ni wakiristo na hivyo unapaswa kuwanga mkono
 
Kama kwenu ushoga ni maadili hatukushangai.

Tumeona jeshi la kuvaa nepi. Kama kwenu wanaume watu wazima wanavaa nepi kwa kuujinyea hovyo, yubber band na seal zote zimekwisha, sikushangai.
 
Nafkiri hujui unachokiongea, wayahudi wanauwa watoto wachanga na wanawake Gaza, ni ujinga uliopitilia kudhani Wayahudi ni wakiristo na hivyo unapaswa kuwanga mkono
Mzee Wayahudi hawapiganii dini yao ya Uyaudi wala Ukristo wala Uislamu. Wao wanapigania ardhi.

Kuiaminishi dunia mnapigania Uislamu dhidi ya Makafir ya Kiyaudi ndio maana mnakosa uungwaji mkono na mataifa mengi.

Imagine kuna Waislamu wangapi hapo Asia wenye nguvu kiuchumi na kijeshi lakini hawataki kujiingiza kwenye huu mgogoro?

Unajua kwanini? Udini haujawahi kumuacha mtu salama, leo unapigana na Myaudi kesho ukimaliza utawageukia Waislamu wenzako kisa tu hawa ni Wasunni na sio Shia. Ndivyo udini unavyofanya kazi na hayo mataifa ya Kiarabu yanajua ndio maana yanajiweka pembeni.
 
Kqama kwenu udhoga ni maadili hatukushangai.

Tumeona jeshi la kuvaa nepi. Kama kwenu wanume watu wazima wanavaa nepi kwa kuujinyea hivyo, tubber band na seal zote zimekwisha, sikushangai.
Kama kwenu maadili ni mtume wa miaka 53 kuoa katoto cha miaka sita na kukapiga pumbu kalipofikisha miaka tisa bac hatushangai.

Kama kwenu maadili ni kuwaweka wanawake na watoto hatarini kwa kuweka bases karibu na kindergarten na hospitali bac hatushangai.

Kama kwenu maadili ni kuua watoto wadogo, kubaka na kunjinja wanawake, kuwaburuza mitaani, kuua wazee na raia kwa kushtukiza bac hatushangai.
 
Nafkiri hujui unachokiongea, wayahudi wanauwa watoto wachanga na wanawake Gaza, ni ujinga uliopitilia kudhani Wayahudi ni wakiristo na hivyo unapaswa kuwanga mkono
Wewe sasa ni mwehu. Kuna mahali kwenye hiyo mada, mleta mada amesema Wayahudi ni wakristo?

Halafu ni uongo kudai IDF inaua watoto. Tofautisha ku-target na kuuawa katikati ya mashambulio wakati hukuwa target. Kwa kiingereza, kuna tofauti kuuawa, ukiwa:

1) targeted
2) caught in fire
3) friendly fire

IDF wamewahi kuwaua hata wanajeshi wao, lakini huwezi kusema wanauana wenyewe kwa wenyewe.

Watoto, wanawake na hata baadhi ya wanaume wasiowapiganaji, huko Gaza na Lebanon, wanauawa wakiwa wamekutwa katikati ya mashambulizi, lakini siyo target. Na yote inasababishwa na magaidi wa Hamas na Hezbollah kuwashambulia wayahudi kutokea kwenye makazi ya watu. Fikiria mahandaki ya wapiganaji wa Hamas na Hezbollah yamejengwa chini ya nyumba za raia, hao wapiganaji wakipigwa huko kwenye mahandaki, hawa raia wanaoishi kwenye nyumba zilizo juu ya mahandaki, watakuwa salama? Au kombora linarushwa tokea kwenye shule ambako kuna watu wamejihifadhi, hao IDF wakitrack back na kuamua kupiga kombora lilikorushiwa, walio karibu na eneo hilo watakuwa salama?

Kwa ujumla hawa magaidi wa Hamas na Hezbollah ni mashetani. Hao ndio wanawaua watoto, wanawake na raia wema, maana wanapoenda kujificha kwenye makazi ya raia au kuwashambulia maadui zao kwa kutokea maeneo ya raia, wanajua madhara yake, wanajua kitakachotokea. Hawa ni mashetani wasioona thamani ya uhai wa binadamu. Wanapowatumia raia kama ngao yao, maana yake wanawatoa kafara raia ili kuokoa maisha yao.

Kwa mbinu hizi wanazotumia magaidi wa Hamas na Hezibollah, za kuwatumia raia kama ngao, hakuna anayeweza kupambana nao bila ya kusababisha maafa ya raia.
 
Back
Top Bottom