IDF yawataka Viongozi wa Hamas wajisalimishe

IDF yawataka Viongozi wa Hamas wajisalimishe

Wakat wenzenu wanakwenda shule nyie si mkachagua kuzaliana
Kwa Mara ya kwanza wizara ya elimu kushikwa na muislam ni 1988,huko nyuma Hadi padre alikua Waziri wa elimu,na waliofaulu kwa wingi mkubwa ni wakiristo,siyo kwamba waislam hawakupeleka watoto shule,hata Tanga na dar ambako waislam ni wengi zaidi,uwiano wa wakiristo kufaulu ulikua mkubwa,hii ndiyo janja ya kujifanya kutaifisha shule,ili waislam waliokua na pesa za kutosha wasijenge shule kudhibiti idadi ya wasomi waislam,lakini Leo kwa dar tu waislam Wana shule nyingi kuliko dini yoyote ile,na jakaya kuweka shule za kata ilikua ni kukata mzizi wa fitna
 
Jeshi la Israel Leo jumatano limefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Al Shifa , na kuanza operesheni ya kuwamaliza masalia wa Hamas na Viongozi wao.

IDF imeingia hospitalini hapo ikiwa pamoja na madaktari na watafsiri wa lugha ya kiarabu. Jeshi Hilo limesema litawasaidia watoto wa changa kwa kuwapeleka Israel kupata matibabu.

Kuna uwezekano kuwa mateka wapo Chini ya Handaki pamoja na Viongozi wa Hamas akiwemo Yahya Sinwar. Hamas walikuwa wameomba mapigano yasitishwe kwa siku tano na waweze kuwaachilia mateka 70, ila inaonekana Israel hawataki Hilo Jambo.

Al Shifa imekuwa ndio ngome ya mwisho ya mapigano, ndio maana IDF wamewaomba Viongozi wa Hamas wajisalimishe.
Inawaomba wajisalimishe Tena wakati wanamalizia ng'ombe yao ya mwisho!?..mi nilijua ni kamata,nyonga
 
[emoji298]️Netanyahu: I say to the Arab leaders, if you want to preserve your interests, you must do one thing... Remain silent!
20231114_153844.jpg
 
Nyie si mnapenda maulidi kuliko shule? Si mnapenda sana liwati kuliko elimu? Si unaona mama enu Samia nahangaika kuokoteza watu huko Bwakwata na Shura ya maimamu bado hapati inabidi arudi kwa wagalatia?

Itaqachukua miaka 200 muwafikie wagalatia kwa shule.
Nilkuwa namjibu shoga mwenzako wewe ukiona post yangu tu uwa mku..d unawasha nilishakuambia siwezi kukutafuna tawachanga na bi mkubwa wako.
 
Nilkuwa namjibu shoga mwenzako wewe ukiona post yangu tu uwa mku..d unawasha nilishakuambia siwezi kukutafuna tawachanga na bi mkubwa wako.
Hahahaha Ritz kwa ulivyodhoofika na kunyonyoka unamudu nini sasa?

Mkeo tu kwa huo muonekano huwezi mtafuna ndo utaweza dume kweli?

Halafu mbona waislamu mnapenda sana habari za ushoga na kutifuana mitaro?
 
Kulingana na magaidi wa humu JF, hospitali ya Al Shifa haina wanamgambo wa Hamas bali ina wagonjwa, wafanyakazi walioelemewa, watoto na maiti. Hii ni teknolojia ya hali ya juu sana wagonjwa kupigana kwa silaha, mabomu na kuleta upinzani kwa jeshi. Haijawahi tokea sindano zikageuka bunduki.
Israeli fake propaganda
They want to legalise the killing of wounded kids and women
#IsraeliTerrorism
 
Hahahaha Ritz kwa ulivyodhoofika na kunyonyoka unamudu nini sasa?

Mkeo tu kwa huo muonekano huwezi mtafuna ndo utaweza dume kweli?

Halafu mbona waislamu mnapenda sana habari za ushoga na kutifuana mitaro?
Teh teh teh mimi namtafuna bi mkubwa wako tatizo unamuonea wivi Mama yako unaona anafaidi kuchezea pipe😂

Anayependa habari mashoga ni Papa kaenda mbali zaidi nyie mashoga sasa hivi ruksa kubatizwa.
 
Eti elimu ila hamna jipya huyo Mramba na wengine ndio walipeleka maji na umeme huko migombani kwa upendeleo na kuacha potential areas za kiuchumi kisa ukabila wao....Nyie mmerudisha nchi nyuma na huo usomi wenu wa kuiba mitihani hamna jema ndani ya miaka 60.😂
Ungekuwa na akili na kumbukumbu usingeandika huu upuuzi!
Maji uchagani yapo ya kutosha na kuyashusha toka milimani ni rahisi mno mno na hakuna gharama kubwa!

Barabara ya Rombo imejengwa Mramba akiwa sio waziri wala Mbunge, kumbuka ilijenngwa kwa ajili ya kukuza biashara ya mpakani wewe nungunungu!
 
Hamas wameshindwa kuwalinda raia ila wanaweza kwenda kushambulia nchi jirani. Huo ndio ulimbukeni wenyewe.
Wewe shoga kweli yaani Israel anapiga kombora hospitali anauwa wagonjwa anapiga kambi ya wakimbizi kisha lawama wanapewa Palestina.
 
hivi lile kosi kazi la CHADEMA lilikua linaitwaje na liliishia wap? au wapo kwenye handaki
 
Wewe shoga kweli yaani Israel anapiga kombora hospitali anauwa wagonjwa anapiga kambi ya wakimbizi kisha lawama wanapewa Palestina.
Matusi ya nini sasa kama una hoja ya msingi? Kama hamas watajificha hata kwenye chumba cha maiti watapigwa tu. Yaani unataka huruma za kizembe kwa kujificha nyuma ya raia. Hiyo propaganda wapelekee wasiojua mbinu za hamas. Na matusi uache.
 
Ungekuwa na akili na kumbukumbu usingeandika huu upuuzi!
Maji uchagani yapo ya kutosha na kuyashusha toka milimani ni rahisi mno mno na hakuna gharama kubwa!

Barabara ya Rombo imejengwa Mramba akiwa sio waziri wala Mbunge, kumbuka ilijenngwa kwa ajili ya kukuza biashara ya mpakani wewe nungunungu!
Ungekuwa na akili usingedandia bila ya kujua ...Nan kajenga barabara huko vijijini ambapo hamna hata potential kisa mmepewa madaraka !? Kuna barabara za mikoani hazipo vizuri eti ukajenge huko kwenu tu kama sio ufisadi ,sasa kaeni mtulie hamna cha maana mmefany8a nchi zaidi ya wizi.

Soma mwenzio kaandikaje usikurupuke dogo...
 
Matusi ya nini sasa kama una hoja ya msingi? Kama hamas watajificha hata kwenye chumba cha maiti watapigwa tu. Yaani unataka huruma za kizembe kwa kujificha nyuma ya raia. Hiyo propaganda wapelekee wasiojua mbinu za hamas. Na matusi uache.
Hamna matusi utaratibu wangu huu JF miakq yote mtu akinishambulia uwa najibu kama nilivyoshambuliwa sasa wewe umeona nilochoandika lakini hakutaka kumwambia aliyeanza kunishambulia.
 
Naona hapa ni habari za mashoga tu...
Zanzibar kuna mashoga wengi sana kuliko kanda ya ziwa yote...
Sasa sijui zenj ni Israel..
 
Jeshi la Israel Leo jumatano limefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Al Shifa , na kuanza operesheni ya kuwamaliza masalia wa Hamas na Viongozi wao.

IDF imeingia hospitalini hapo ikiwa pamoja na madaktari na watafsiri wa lugha ya kiarabu. Jeshi Hilo limesema litawasaidia watoto wa changa kwa kuwapeleka Israel kupata matibabu.

Kuna uwezekano kuwa mateka wapo Chini ya Handaki pamoja na Viongozi wa Hamas akiwemo Yahya Sinwar. Hamas walikuwa wameomba mapigano yasitishwe kwa siku tano na waweze kuwaachilia mateka 70, ila inaonekana Israel hawataki Hilo Jambo.

Al Shifa imekuwa ndio ngome ya mwisho ya mapigano, ndio maana IDF wamewaomba Viongozi wa Hamas wajisalimishe.

Wajisalimishe vipi wakati wapo Qatar hotel za nyota tano walingonokaa na malaya huku wakilewa mvinyo.
 
Back
Top Bottom