Kuna ukweli fulani, na inatokana na mifumo yao ya kiutamaduni anzia huko kwa waarabu. Mfano, kuishi kwa kupendeleana na kujuana ni desturi ya waislamu, kuishi kwa connection (ona tu kwa Bakhresa kama wewe siyo muislamu hutoboi), na sehemu zingine tu hawawezi fanya kazi na dini nyingine kwa sababu ni mchafu yaani huwezi wafikisha mbinguni kwa sababu ya uzambi wa mhusika. Pia kumdanganya adui (dini nyingine) ni kawaida. Wanaishi sana kwa dili ndiyo maana uarabuni huwezi pata dili la biashara kama hauna connection na familia ya kifalme na hapo ili ufanikishe lazima utoe rushwa (similar kwa awamu zote ambazo ziliongozwa na waislamu), hata dp world imeletwa hivyo hivyo ni connection ya familia ya kifalme na connection ya watu wa karibu wa rais wa Tanzania). Pamoja na hayo mambo yote tatizo kubwa linabaki inategemea linatokea wapi kwa watu gani na wana sheria zipi? Mfano uarabuni ukila rushwa na kitu kisifanyike jambia linakuhusu, na kwa utamaduni ule ule kwa nchi kama za kwetu ambazo hatuna sheria kali ndiyo maana serikali zinazoongozwa na waislamu zimekuwa zinaleta neema kubwa sana (mfano cheki Mzee Mwinyi kulikuwa na soko huria, Dkt JK Maisha bora kwa kila mtanzania na sasa Dkt Samia mambo mengi yamefunguka), tatizo linakuja miongoni mwa wapiga dili ni wa dini zote. Unakuta kwa sababu yeye Dkt Samia karuhusu huo mfumo basi kila mtu anajipigia akijua kabisa hakuna ufuatiliaji. Ingekuwa nchi ya kiislamu tu kama hii Tanzania maana wezi wangekatwa shingo, ila kwa sasa sheria na bunge letu ni la kupewa hela (mfano kupewa visafari etc) na kusahau na kuishia kulalamika. Ni kweli marais waislamu wameonesha kufeli ila ni kwa sababu ya mifumo yetu na wa dini nyingine walionekana kufanya vizuri kwa sababu ya kufuatilia jino kwa jino kiasi kwamba oanakuwa na angalau accountability. Ila tusisahau Dkt Samia 2025 ni yeye tu!