ndugu, kubali tu kwamba tamaduni za dini tunatofautiana ndio maana unakuwepo hata utofauti wa kielimu pia. kuna dini fulani elimu dunia huwa hawajali saana na ni walegevu sana, na nyingine elimu ni kipaumbele. wakati wewe unapeleka mtoto madrasa akasome dini, mimi napeleka chekechea, akirudi nyumbani namshikia fimbo anasoma, wewe akirudi nyumbani ni kucheza kiduku na kusoma dini na kuangalia tamthilia. tumesoma nao, hata wale waliozaliwa na wazazi wasomi unaona kabisa shuleni anazidiwa, background inawabeba hao wengine, wao elimu ni kitu cha muhimu mno.
wakati dini nyingine inachangisha au kukusanya sadaka na kujenga shule na hospitali, ile ingine inachangisha kujenga madrasa, kununua tende uarabuni. hivi kweli tutakuwa sawa? wakati wamisionary wanafika walileta shule, waarabu wakaleta dini bila shule. hesabu shule za kibongo za hao wengine ngapi? wakati wao ndio matajiri namba moja hapa nchini, wapo tayari kulipia watu waingine bure kuangalia mpira wa yanga na simba, wakati mwingine anaongeza madarasa ya shule za watoto na wakija pale hata kama ni waislam watasomeshwa salamu maria. tutakuwa sawa kweli?