IDF yawataka Viongozi wa Hamas wajisalimishe

Siyo kweli..hapo ni Gsza kaskazini mkuu
 
Pa
 
Kelele zote ohh wanashambulia Hospitali zikikuwa za kuwanusuru magaidi wa Hamas sio wagonjwa ile haikuwa hosputali ilikuwa kambi ya wanajeshi wakitoka vitani kupitia Tunnels wanaenda kulala mawodini

Mawodi yote yalikuwa mabweni ya kulala wanajeshi

Sehemu ndogo tu.ndio waliacha kwa ajili.ya kuzuga kuwa ni ya kulaza wagonjwa akina mama na watoto

Ila mhospirali ule mkubwa kuliko yote palestina ni kambi ya Hamas
 
ndio maana hata madaktari waligoma kabisa kuondoka al shifa, kwasababu walijua siri itafichuka kuwa hospitali hiyo ina mahandaki chini ambako hamas wanaoperate. na wale madaktari ni hamas haohao, israel wawachukulie tu hatua kwasababu sio kwamba hawajui kilichokuwa kinaendelea, wapo pamoja nao.
 
Nimezungumzia idadi ya shule,sijazungumzia shule zinazofanya vibaya,hata tukija kwenye shule zinazofanya vibaya,una ushahidi na takwimu zako!?..kwamba shule za kata zinafanya vizuri!?..kwa nini Arusha Kuna walimu wengi wa somo moja wakati lindi na mtwara Kuna uhaba wa walimu,hatuendelezi yaleyale!?
 
Sasa Wapalestina wa Samvu la chole tuendelee tu kudanganyana, kwamba safari hii Hamas itaishinda Israel na kuishangaza dunia, vita haipiganwi kwenye baobonye jamani

Waambie vita haipiganwi nyuma ya keyboard
 

Kwanini hamas wasikae mbali na hospitali kama kweli wanathamini maisha ya wapalestina?! Mita 500 ni umbali mdogo Sana kwenye uwanja wa mapambano
 
ndugu, kubali tu kwamba tamaduni za dini tunatofautiana ndio maana unakuwepo hata utofauti wa kielimu pia. kuna dini fulani elimu dunia huwa hawajali saana na ni walegevu sana, na nyingine elimu ni kipaumbele. wakati wewe unapeleka mtoto madrasa akasome dini, mimi napeleka chekechea, akirudi nyumbani namshikia fimbo anasoma, wewe akirudi nyumbani ni kucheza kiduku na kusoma dini na kuangalia tamthilia. tumesoma nao, hata wale waliozaliwa na wazazi wasomi unaona kabisa shuleni anazidiwa, background inawabeba hao wengine, wao elimu ni kitu cha muhimu mno.

wakati dini nyingine inachangisha au kukusanya sadaka na kujenga shule na hospitali, ile ingine inachangisha kujenga madrasa, kununua tende uarabuni. hivi kweli tutakuwa sawa? wakati wamisionary wanafika walileta shule, waarabu wakaleta dini bila shule. hesabu shule za kibongo za hao wengine ngapi? wakati wao ndio matajiri namba moja hapa nchini, wapo tayari kulipia watu waingine bure kuangalia mpira wa yanga na simba, wakati mwingine anaongeza madarasa ya shule za watoto na wakija pale hata kama ni waislam watasomeshwa salamu maria. tutakuwa sawa kweli?
 
Jina lake INAMA USWEKWE
 
Wamelifind na wameliget. Japo vita mbaya jamani
 
Watuoneshe sasa hao magaidi siwamesha ingia hospital?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…