econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Jeshi la Israel Leo jumatano limefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Al Shifa , na kuanza operesheni ya kuwamaliza masalia wa Hamas na Viongozi wao.
IDF imeingia hospitalini hapo ikiwa pamoja na madaktari na watafsiri wa lugha ya kiarabu. Jeshi Hilo limesema litawasaidia watoto wa changa kwa kuwapeleka Israel kupata matibabu.
Kuna uwezekano kuwa mateka wapo Chini ya Handaki pamoja na Viongozi wa Hamas akiwemo Yahya Sinwar. Hamas walikuwa wameomba mapigano yasitishwe kwa siku tano na waweze kuwaachilia mateka 70, ila inaonekana Israel hawataki Hilo Jambo.
Al Shifa imekuwa ndio ngome ya mwisho ya mapigano, ndio maana IDF wamewaomba Viongozi wa Hamas wajisalimishe.