IDF yawataka Viongozi wa Hamas wajisalimishe

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
20,189
Reaction score
29,663
Jeshi la Israel Leo jumatano limefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Al Shifa , na kuanza operesheni ya kuwamaliza masalia wa Hamas na Viongozi wao.

IDF imeingia hospitalini hapo ikiwa pamoja na madaktari na watafsiri wa lugha ya kiarabu. Jeshi Hilo limesema litawasaidia watoto wa changa kwa kuwapeleka Israel kupata matibabu.

Kuna uwezekano kuwa mateka wapo Chini ya Handaki pamoja na Viongozi wa Hamas akiwemo Yahya Sinwar. Hamas walikuwa wameomba mapigano yasitishwe kwa siku tano na waweze kuwaachilia mateka 70, ila inaonekana Israel hawataki Hilo Jambo.

Al Shifa imekuwa ndio ngome ya mwisho ya mapigano, ndio maana IDF wamewaomba Viongozi wa Hamas wajisalimishe.
 
Asilimia kubwa ya mafisadi papa wanaoitafuna nchi na kuirudisha nyuma ni kutoka hiihii imani ya kina Hamas.

Wao ndio wameharibu uchumi wetu kwa wizi, ufisadi na ukwapuaji wa kutisha.

Tafiti za uhakika zimethibitisha.

adriz Ritz Accumen Mo Malaria 2 incharge Adiosamigo Granta ITR Bravo Mike
Nyie na ndugu zako ndio mmefikisha nchi hapa ,😂sasa angalia watu wanashika nanga unaona maendeleo haswa ya miundombinu inaanza ....

Eti elimu ila hamna jipya huyo Mramba na wengine ndio walipeleka maji na umeme huko migombani kwa upendeleo na kuacha potential areas za kiuchumi kisa ukabila wao....Nyie mmerudisha nchi nyuma na huo usomi wenu wa kuiba mitihani hamna jema ndani ya miaka 60.😂
 
Umepata sababu ya kuhama kwenye mada. Mada ni IDF ipo ndani ya Alshifa hosp.
Sasa umejua wale walikuwa wanapigana na IDF kando ya hosp siyo wagonjwa, madaktari na manesi, bali ni magaidi yaliyojificha kwenye mashimo chini ya ardhi ya hosp hiyo.
Watoke tu japo kujisalimisha kutaka moyo.
Hao mateka wengi wao wameshauuliwa ,hakuna haja ya kusimamisha vita.
Nadhani,nasema tena nadhani hata ile miili 170 iliyofukiwa kwenye kaburi la pamoja , katika eneo la hospitali itakuwa ni baadhi ya hao mateka.
 
Soma jamaa alivyoquote usikurupuke kijana wa kitanzania hujui chochote...Soma Maghayo kaandikaje
 
Jeshi la Israel Leo jumatano limefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Al Shifa , na kuanza operesheni ya kuwamaliza masalia wa Hamas na Viongozi wao.

IDF imeingia hospitalini hapo ikiwa pamoja na madaktari na watafsiri wa lugha ya kiarabu. Jeshi Hilo limesema litawasaidia watoto wa changa kwa kuwapeleka Israel kupata matibabu.

Kuna uwezekano kuwa mateka wapo Chini ya Handaki pamoja na Viongozi wa Hamas akiwemo Yahya Sinwar. Hamas walikuwa wameomba mapigano yasitishwe kwa siku tano na waweze kuwaachilia mateka 70, ila inaonekana Israel hawataki Hilo Jambo.

Al Shifa imekuwa ndio ngome ya mwisho ya mapigano, ndio maana IDF wamewaomba Viongozi wa Hamas wajisalimishe.
Israeli fake propaganda
They want to legalise the killing of wounded kids and women
#IsraeliTerrorism
 
Asilimia kubwa ya mafisadi papa wanaoitafuna nchi na kuirudisha nyuma ni kutoka hiihii imani ya kina Hamas.

Wao ndio wameharibu uchumi wetu kwa wizi, ufisadi na ukwapuaji wa kutisha.

Tafiti za uhakika zimethibitisha.

adriz Ritz Accumen Mo Malaria 2 incharge Adiosamigo Granta ITR Bravo Mike
Hii nchi imepata uhuru mwaka 1961 toka huo mwaka sasa serikalini mmejaa Wakirsto watupu kila wizara wamejaa wagalatia na ndiyo wanajitapa wasomi hao ndiyo watufikisha hapa kwenye umasikini mkubwa.
 
Kulingana na magaidi wa humu JF, hospitali ya Al Shifa haina wanamgambo wa Hamas bali ina wagonjwa, wafanyakazi walioelemewa, watoto na maiti. Hii ni teknolojia ya hali ya juu sana wagonjwa kupigana kwa silaha, mabomu na kuleta upinzani kwa jeshi. Haijawahi tokea sindano zikageuka bunduki.
 
Jeshi la Israel Leo jumatano limefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Al Shifa , na kuanza operesheni ya kuwamaliza masalia wa Hamas na Viongozi wao.

IDF imeingia hospitalini hapo ikiwa pamoja na madaktari na watafsiri wa lugha ya kiarabu. Jeshi Hilo limesema litawasaidia watoto wa changa kwa kuwapeleka Israel kupata matibabu.

Kuna uwezekano kuwa mateka wapo Chini ya Handaki pamoja na Viongozi wa Hamas akiwemo Yahya Sinwar. Hamas walikuwa wameomba mapigano yasitishwe kwa siku tano na waweze kuwaachilia mateka 70, ila inaonekana Israel hawataki Hilo Jambo.

Al Shifa imekuwa ndio ngome ya mwisho ya mapigano, ndio maana IDF wamewaomba Viongozi wa Hamas wajisalimishe.
Israel hua hawajadiliani na watu wanaowaita magaidi, ndio sera yao.
 
Hii nchi imepata uhuru mwaka 1961 toka huo mwaka sasa serikalini mmejaa Wakirsto watupu kila wizara wamejaa wagalatia na ndiyo wanajitapa wasomi hao ndiyo watufikisha hapa kwenye umasikini mkubwa.
Nyie si mnapenda maulidi kuliko shule? Si mnapenda sana liwati kuliko elimu? Si unaona mama enu Samia nahangaika kuokoteza watu huko Bwakwata na Shura ya maimamu bado hapati inabidi arudi kwa wagalatia?

Itaqachukua miaka 200 muwafikie wagalatia kwa shule.
 
Wagalatia wenyewe hawajasimama wanaendelea kukimbia sasa watawafikiaje?
 
Back
Top Bottom