DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Naamini hata wewe ukichekwa na mtu kwenye kadamnasi ya watu, hutamwacha salama aliyekucheka. Utani, kwa tabia ya kiafrika unakubalika, lakini pia una miiko na mipaka.
Umelala masikini umeamka na 500M unafikiri wazo la kufungua mgahawa litakua la kwanza
Wewe waonaje? Hakuna haja ya mabadiliko?
Kwa nini hili liwe swali la au?
Mtu hawezi kuwa msanii na mwanaharakati wa mabadiliko?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Kweli mkuu nashukur kwa wazo zur sana hapo nimekuelewa sana kweli hii biashara ya majengo kupata hasara ni vigumu sana na niendelevuNdio hivyo mimi nakwama kwa sababu pesa ninazopata hazigawanyiki zinabaki kuniumiza kichwa tu au ukianzisha biashara ndogondogo unakuwa umezungukwa na utitiri wa biashara nyingi zinazofanana na yako hapo kufirisika ni rahisi sana.
Kwa hiyo ukiwa na angalau milioni 100 na kuendelea biashara za kufanya ni nyingi ambazo hazitakuumiza kichwa.
Umasikini wa mawazo.
Alipigwa na Wema sepenga ile hela mi najiulizaga vijana wakipata hela kwanza wanakimbilia kumchakata sepenga zikiisha anawapiga chini enzi hizo sepenga ana bonge la msambwandaKilaza mmoja alipiga milioni 500 big brother south Africa malaya wa Dar wamezikomba zote amebaki anaishi kwa kuombaomba mtaani
Alimcheka mtukufu ambaye alinyuka pamba za kufa mtu baada ya kuvunja kabati .Kwani alifanya nini
Msambwanda ndio unawamaliza na kupenda sifa mjini waonekane kila baraAlipigwa na Wema sepenga ile hela mi najiulizaga vijana wakipata hela kwanza wanakimbilia kumchakata sepenga zikiisha anawapiga chini enzi hizo sepenga ana bonge la msambwanda
Kikawaida kabisa mtu kama hajui kitu huwa anaangukia kwenye kundi la kuwa mjinga au mpumbavu, wewe upo katika kundi gani hapo?Mimi sijui
Asante kwa kunisahihisha lugha.Halari =halali ....kuandika kwenyewe Huwezi . ..sasa mambo ya Idriss utayafahamu vipi.
Nwshukuru kwa ushauri mzurisio halari mkuuu mwanaume anayekoseaa r n l ni rahisi saana kujisahau hata jinsiaa yake aaaagh
ile picha.....Alicheka picha ya mfalme
Ndiyoile picha.....
Yeah upo
Mfalme JuhaAlicheka picha ya mfalme
eti kosa la kumuonea mtandaoni....Ndiyo