Idris Sultan afikishwa katika Mahakama ya Kisutu. Ashtakiwa kwa kumiliki laini ya simu isiyo na jina lake. Aachiwa kwa dhamana

Idris Sultan afikishwa katika Mahakama ya Kisutu. Ashtakiwa kwa kumiliki laini ya simu isiyo na jina lake. Aachiwa kwa dhamana

Naamini hata wewe ukichekwa na mtu kwenye kadamnasi ya watu, hutamwacha salama aliyekucheka. Utani, kwa tabia ya kiafrika unakubalika, lakini pia una miiko na mipaka.



Ujinga tu Mbona mwinyi alivyotetea condom kwa waislamu alipigwa kibao sembuse Mzee Mataga.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wazo la kwanza litakuwa lipi sasa?Ila umenikumbusha kitu kuna jamaa alibahatika kupata kazi nzuri basi akawa akipata mshahara au akichukua mkopo benki kama milioni 10 anatembea nazo mfukoni zote halafu anakuwa na msafara,anakodi suti kali na anakodi Rangerover kisha anaenda kutega mingo kwenye viwanja wanavyopenda kuingia mastaa kama akina wema,uwoya ili aonekane naye ni pedeshee.
Umelala masikini umeamka na 500M unafikiri wazo la kufungua mgahawa litakua la kwanza
 
Ndio hivyo mimi nakwama kwa sababu pesa ninazopata hazigawanyiki zinabaki kuniumiza kichwa tu au ukianzisha biashara ndogondogo unakuwa umezungukwa na utitiri wa biashara nyingi zinazofanana na yako hapo kufirisika ni rahisi sana.
Kwa hiyo ukiwa na angalau milioni 100 na kuendelea biashara za kufanya ni nyingi ambazo hazitakuumiza kichwa.
Kweli mkuu nashukur kwa wazo zur sana hapo nimekuelewa sana kweli hii biashara ya majengo kupata hasara ni vigumu sana na niendelevu
 
Kilaza mmoja alipiga milioni 500 big brother south Africa malaya wa Dar wamezikomba zote amebaki anaishi kwa kuombaomba mtaani
Alipigwa na Wema sepenga ile hela mi najiulizaga vijana wakipata hela kwanza wanakimbilia kumchakata sepenga zikiisha anawapiga chini enzi hizo sepenga ana bonge la msambwanda
 
Alipigwa na Wema sepenga ile hela mi najiulizaga vijana wakipata hela kwanza wanakimbilia kumchakata sepenga zikiisha anawapiga chini enzi hizo sepenga ana bonge la msambwanda
Msambwanda ndio unawamaliza na kupenda sifa mjini waonekane kila bara
 
Back
Top Bottom