DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Naamini hata wewe ukichekwa na mtu kwenye kadamnasi ya watu, hutamwacha salama aliyekucheka. Utani, kwa tabia ya kiafrika unakubalika, lakini pia una miiko na mipaka.
Ujinga tu Mbona mwinyi alivyotetea condom kwa waislamu alipigwa kibao sembuse Mzee Mataga.