Idris Sultan afikishwa katika Mahakama ya Kisutu. Ashtakiwa kwa kumiliki laini ya simu isiyo na jina lake. Aachiwa kwa dhamana

Idris Sultan afikishwa katika Mahakama ya Kisutu. Ashtakiwa kwa kumiliki laini ya simu isiyo na jina lake. Aachiwa kwa dhamana

Wamuachie mtoto wa watu. Mtu maarufu ukifanya kitu cha kuchekesha kitachekwa tu
 
  • Thanks
Reactions: Auz
No kuna aina za biashara huwa hazifirisiki,kwa mfano biashara za majengo ya kupanga,pamoja na lodges kufa kwake mpaka ziungue moto.
Na hazihitaji elimu kubwa ya biashara kuweza kuziendesha.
Sema hela ikuwa kwa mwenzio mipango mingi zipate ufungue huo mgahawa kama hujanywa chai mwenyewe unafikir biashara kiivo wengi wamefungua biashara lakin zina kufa tu
 
Sikupingi ....hila ...Tabia zakuwapa watu kesi za uhujumi uchumi au utakatishaji pesa sio nzuri...kumcheka Rais wa JMT nijamb lakawaida sana.
Naamini hata wewe ukichekwa na mtu kwenye kadamnasi ya watu, hutamwacha salama aliyekucheka. Utani, kwa tabia ya kiafrika unakubalika, lakini pia una miiko na mipaka.
 
No kuna aina za biashara huwa hazifirisiki,kwa mfano biashara za majengo ya kupanga,pamoja na lodges kufa kwake mpaka ziungue moto.
Na hazihitaji elimu kubwa ya biashara kuweza kuziendesha.
Hapa sasa nimekupata bonge la akili na pia unaweza kuzikatia bima
 
Mchekeshaji huyu alikuwa akishikiliwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay kwa takriban siku 8 akifanyiwa mahojiano.

Haijajulikana ni mashtaka gani atasomewa lakini kwa wa mujibu wa Polisi, walikuwa wakimuhoji kwa tuhuma za kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya Kimtandao.

Endelea kufuatilia....
walikuwa wakimuhoji kwa tuhuma za kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya Kimtandao.

Jr[emoji769]
 
Ndio hivyo mimi nakwama kwa sababu pesa ninazopata hazigawanyiki zinabaki kuniumiza kichwa tu au ukianzisha biashara ndogondogo unakuwa umezungukwa na utitiri wa biashara nyingi zinazofanana na yako hapo kufirisika ni rahisi sana.
Kwa hiyo ukiwa na angalau milioni 100 na kuendelea biashara za kufanya ni nyingi ambazo hazitakuumiza kichwa.
Hapa sasa nimekupata bonge la akili na pia unaweza kuzikatia bima
 
Back
Top Bottom