Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Wewe waonaje? Hakuna haja ya mabadiliko?Ndivyo inavyohubiriwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe waonaje? Hakuna haja ya mabadiliko?Ndivyo inavyohubiriwa
Kwa nini hili liwe swali la au?kwanza nataka kujua idris ni msanii au mwana HARAKATI wa mabadiliko?
Wewe mbona hulimi unashinda jf. Acha wivu bro.Afungwe haraka tumechoka kuona vijana badala ya kulima wanashinda Twitter
kuna wengine siomachizi wapo kazini.ukimcheka chizi wenye akili wanakuona wewe ndo chizi mkuu.Sawa tuendelee kusubiri muda utaongea lakini kumcheka chizi sio kosa kisheria.
Kesi za ujanja ujanja tu utaona jinsi zinaisha mahakamani.Avune alichopanda
Huwezi kufanya dhihaka kwa Mkuu wa Nchi kiasi kile
Angejaribu kuwadhihaki wazazi wake kwanza
Sema hela ikiwa kwa mwenzio mipango mingi zipate ufungue huo mgahawa kama hujanywa chai mwenyewe unafikir biashara kiivo wengi wamefungua biashara lakin zina kufa tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hyo milioni 500 alishindwa hata kutengeneza mgahawa?kweli tunatofautiana akili
Kama draft vile. Ukiwa nje ulionaaa, na mitego yote. Ingia sasa uone balaa lakeSema hela ikuwa kwa mwenzio mipango mingi zipate ufungue huo mgahawa kama hujanywa chai mwenyewe unafikir biashara kiivo wengi wamefungua biashara lakin zina kufa tu
Sema hela ikuwa kwa mwenzio mipango mingi zipate ufungue huo mgahawa kama hujanywa chai mwenyewe unafikir biashara kiivo wengi wamefungua biashara lakin zina kufa tu
Naamini hata wewe ukichekwa na mtu kwenye kadamnasi ya watu, hutamwacha salama aliyekucheka. Utani, kwa tabia ya kiafrika unakubalika, lakini pia una miiko na mipaka.Sikupingi ....hila ...Tabia zakuwapa watu kesi za uhujumi uchumi au utakatishaji pesa sio nzuri...kumcheka Rais wa JMT nijamb lakawaida sana.
Umelala masikini umeamka na 500M unafikiri wazo la kufungua mgahawa litakua la kwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hyo milioni 500 alishindwa hata kutengeneza mgahawa?kweli tunatofautiana akili
Hapa sasa nimekupata bonge la akili na pia unaweza kuzikatia bimaNo kuna aina za biashara huwa hazifirisiki,kwa mfano biashara za majengo ya kupanga,pamoja na lodges kufa kwake mpaka ziungue moto.
Na hazihitaji elimu kubwa ya biashara kuweza kuziendesha.
Ndio maana waswahili wanasema uhondo wa ngoma ingia ndani uchezeKama draft vile. Ukiwa nje ulionaaa, na mitego yote. Ingia sasa uone balaa lake
walikuwa wakimuhoji kwa tuhuma za kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya Kimtandao.Mchekeshaji huyu alikuwa akishikiliwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay kwa takriban siku 8 akifanyiwa mahojiano.
Haijajulikana ni mashtaka gani atasomewa lakini kwa wa mujibu wa Polisi, walikuwa wakimuhoji kwa tuhuma za kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya Kimtandao.
Endelea kufuatilia....
Afungwe haraka tumechoka kuona vijana badala ya kulima wanashinda Twitter
Kaushahidi kenyewe kametulia , kamekaa kimyaaa jamaa akaenda kukachokozawalikuwa wakimuhoji kwa tuhuma za kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya Kimtandao.
Jr[emoji769]
Hapa sasa nimekupata bonge la akili na pia unaweza kuzikatia bima
Kesi za ujanja ujanja tu utaona jinsi zinaisha mahakamani.
Cc. Wapiga Zumari wote
kuna wengine siomachizi wapo kazini.ukimcheka chizi wenye akili wanakuona wewe ndo chizi mkuu.
Umasikini wa mawazo.Afungwe tu huyo kiazi