Idris Sultan akamatwa na Polisi, anahojiwa na Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni

Vijana waajisahau wanashndwa kusoma alama za nyakati. Asije akafanywa kama Msomi Mwenzangu Wilson Magoti. Ni jambo la muda tu.
 
Huyu dogo nae anatafuta kiki tu sasa. Unafanyaje kosa lile lile mara 2 hata kama ndani ya nafsi yako unaamini uko sawa.

Baada ya kuachiwa mara ya kwanza kwa kufanya uchekeshaji wa maudhui yale alitakiwa aachane nayo.

Mbona kuna maudhuhi mengi tu ya kuchekesha. Bila kujali kuwa ni sawa au haki au si sawa hatakiwi kulazimisha baadhi ya makosa.

Aache tu kama utawala huu haupendi kuchekeshewa Boss wao awe mpole tu asubiri utawala ujao amcheke huyo Boss.

Mkuu vijana aina ya idrisa hawana heshima kwa wakubwa wao. Wacha dunia iwaelekeze namna ya kuishi sasa.
 
Mjini umekuja 2015 hata ukiambiwa Ze Utamu alitingisha hadi kina Shigongo utaelewa vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ikiwa kama sipo sahihi nisahihishe.

Ninachofahamu moja ya Alama za Taifa Tanzania ni bendera ya Rais, gari analopanda Rais, Makamu wa Rais na Ikulu. Bendera ya Rais ina maana ni Rais mwenyewe, ni kama bendera ya Taifa la Tanzania ni nchi ya Tanzania yenyewe. Kwa hiyo ukimdhihaki Rais ni umedhihaki moja ya Alama za Taifa.

Kama mantiki ndiyo hiyo ina maana Idris anaweza kufunguliwa mashtaka ya kudhihaki moja ya Alama za Taifa.
 
Mkuu uekua na hoja fikrishi sana. Kongole kwako nyingi mkuu
 
Hata makosa ya kimtandao

Ila kwa sasa itakuwa wanamchokonoa kuhusu Uhusiano wake na baadhi ya watu na source ya kipato ili kuangalia uwezekano wa kumtandika Shtaka pendwa la Money laundering
Ikiwa kama sipo sahihi nisahihishe.

Ninachofahamu moja ya Alama za Taifa Tanzania ni bendera ya Rais, gari analopanda Rais, Makamu wa Rais na Ikulu. Bendera ya Rais ina maana ni Rais mwenyewe, ni kama bendera ya Taifa la Tanzania ni nchi ya Tanzania yenyewe. Kwa hiyo ukimdhihaki Rais ni umedhihaki moja ya Alama za Taifa.

Kama mantiki ndiyo hiyo ina maana Idris anaweza kufunguliwa mashtaka ya kudhihaki moja ya Alama za Taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dogo nae anatafuta kiki tu sasa. Unafanyaje kosa lile lile mara 2 hata kama ndani ya nafsi yako unaamini uko sawa.

Baada ya kuachiwa mara ya kwanza kwa kufanya uchekeshaji wa maudhui yale alitakiwa aachane nayo.

Mbona kuna maudhuhi mengi tu ya kuchekesha. Bila kujali kuwa ni sawa au haki au si sawa hatakiwi kulazimisha baadhi ya makosa.

Aache tu kama utawala huu haupendi kuchekeshewa Boss wao awe mpole tu asubiri utawala ujao amcheke huyo Boss.

Uko shaihi ndugu yangu ila mimi naona kama huyu mtoto anaweza akawa ana tatizo kidogo la ubunifu.
Pia naomba nitoke kidogo nje ya mada. Kuna mama mmoja kwenye kipindi ambacho huwa kinarushwa ITV naye ananishangaza kiasi, pengine naye ana tatizo hili. Amaendesha kipindi kizuri sana na cha maana sana, kwa muda mrefu sana lakini kina mambo yale yale kila siku, na ambayo yanagusa mtu mmoja mmoja tu kwa wakati.

Kipindi hiki kimesharuka kwa muda mrefu mno kiasi kwamba ana CASES ZA KUTOSHA kumfanya akaandika Business Plan halafu akaitumia kuomba MISAADA kutoka kwa watu binafsi, kwenye mashirika ya ndani ya nchi na ya kimataifa nje ya nchi, pamoja na /au mikopo kutoka kwenye Mabenki. Yaani akifanya hivyo huyu mama hawezi kukosa pesa na hadi watu binafsi wa kawaida kabisa wasiokuwa na pesa nyingi wanaweza kuchangia organisation yake akianzisha.

Lakini sasa mama ananisikitisha inaonyesha hana kabisa wazo hilo, anafanya kitu kuwaomba watanzania watoe misaada kila siku kwa kila mtu anayemleta jukwaani, solutions ambazo ni very temporary kwa maana kuwa imapct yake kwa wahusika ni ndogo sana. Angekuwa ameanzisha organisation, angeweza kusaidia wahitaji wengi zaidi na kwa mkupuo. Mbali na hivyo sustainability ya kile ambacho atakuwa anafanya itakuwa na assurance kubwa namna moja ama vnyingine, kuliko ilivyo kwa mtindo huu anaoutumia sasa

Mimi ningependa kushauri watu walio karibu naye, wamshauri huyu mama kama anaweza akai-buy hii idea. Aende mbele zaidi kuwa anawaomba wa-Tanzania wasaidie mtu mmoja mmoja, miaka nenda rudi. Akianzisha organisation, hela atapata ya bure na atakuwa msaada kwa wengi zaidi kuliko ilivyo sasa ambapo anatumia bahati ya kuonana na wahitaji, mmoja kwa wakati.

Naomba nieleweke kuwa sipingani na kile anachofanya mama huyu, ni kizuri mno na ninampongeza sana ila napingana na mfumo ambao anaendelea kuutumia miaka nenda rudi. Akianzisha Organisation, atapata hela ya kutosha tu kuwasaida watu hawa wahitaji kwa sababu kila mmoja anaguswa kuwaona katika hali walizonazo.
Zaidi ni kuwa ushahidi anao wa kutosha na usioweza kutiliwa shaka na binadamu yeyote, wa kuwafanya watu na mashirika mbali mbali wampe hela kubwa na ya kutosha bila wassiwasi wowote. Nitafurahi mno siku moja kumuona amefanya kitu kama hiki au kinachofanana na hiki, badala ya kuendelea na mtindo wake alionao sasa. Akifanya hivi, hela atapata, ni uhakika, na kuna uwezekano hata watoto wa shule wanaweza kuwa wanamchangia pia! Mungu azidi kumbariki
 
Huu ni uongo per se,wazee wa propaganda bana

Uwezo wa kuingia michigan na kufanya uhuni huo upo lkn uwezekano wa kutoka salama ndani ya US haupo.

Usidhani US ni kama hapo kwa mama Zakaria.

Yule chalii anaitwa MPL na alikamatiwa UK kwa ushirikiano wa Police TZ na INTERPOL,na sio huo uongo ulioleta.
Nilitaka nishangae wanawezaje toka nae USA bila mamlaka ya Marekani kujua? Maana ake wangekuwa wamehalalisha uminywaji wa haki za binadamu hasa uhuru wa kuongea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko shaihi ndugu yangu ila mimi naona kama huyu mtoto anaweza akawa ana tatizo kidogo la ubunifu.
Pia naomba nitoke kidogo nje ya mada. Kuna mama mmoja kwenye kipindi ambacho huwa kinarushwa ITV naye ananishangaza kiasi, pengine naye ana tatizo hili. Amaendesha kipindi kizuri sana na cha maana sana, kwa muda mrefu sana lakini kina mambo yale yale kila siku, na ambayo yanagusa mtu mmoja mmoja tu kwa wakati.

Kipindi hiki kimesharuka kwa muda mrefu mno kiasi kwamba ana CASES ZA KUTOSHA kumfanya akaandika Business Plan halafu akaitumia kuomba MISAADA kutoka kwa watu binafsi, kwenye mashirika ya ndani ya nchi na ya kimataifa nje ya nchi, pamoja na /au mikopo kutoka kwenye Mabenki. Yaani akifanya hivyo huyu mama hawezi kukosa pesa na hadi watu binafsi wa kawaida kabisa wasiokuwa na pesa nyingi wanaweza kuchangia organisation yake akianzisha.

Lakini sasa mama ananisikitisha inaonyesha hana kabisa wazo hilo, anafanya kitu kuwaomba watanzania watoe misaada kila siku kwa kila mtu anayemleta jukwaani, solutions ambazo ni very temporary kwa maana kuwa imapct yake kwa wahusika ni ndogo sana. Angekuwa ameanzisha organisation, angeweza kusaidia wahitaji wengi zaidi na kwa mkupuo. Mbali na hivyo sustainability ya kile ambacho atakuwa anafanya itakuwa na assurance kubwa namna moja ama vnyingine, kuliko ilivyo kwa mtindo huu anaoutumia sasa

Mimi ningependa kushauri watu walio karibu naye, wamshauri huyu mama kama anaweza akai-buy hii idea. Aende mbele zaidi kuwa anawaomba wa-Tanzania wasaidie mtu mmoja mmoja, miaka nenda rudi. Akianzisha organisation, hela atapata ya bure na atakuwa msaada kwa wengi zaidi kuliko ilivyo sasa ambapo anatumia bahati ya kuonana na wahitaji, mmoja kwa wakati.

Naomba nieleweke kuwa sipingani na kile anachofanya mama huyu, ni kizuri mno na ninampongeza sana ila napingana na mfumo ambao anaendelea kuutumia miaka nenda rudi. Akianzisha Organisation, atapata hela ya kutosha tu kuwasaida watu hawa wahitaji kwa sababu kila mmoja anaguswa kuwaona katika hali walizonazo.
Zaidi ni kuwa ushahidi anao wa kutosha na usioweza kutiliwa shaka na binadamu yeyote, wa kuwafanya watu na mashirika mbali mbali wampe hela kubwa na ya kutosha bila wassiwasi wowote. Nitafurahi mno siku moja kumuona amefanya kitu kama hiki au kinachofanana na hiki, badala ya kuendelea na mtindo wake alionao sasa. Akifanya hivi, hela atapata, ni uhakika, na kuna uwezekano hata watoto wa shule wanaweza kuwa wanamchangia pia! Mungu azidi kumbariki
Kuna yule dada alikua ana host kipindi cha Fema talk show au Haki Elimu(nimesahau) anaitwa Rebeka Mujuni kama sikosei ni mfano halisi wa hik ulichoshauri,dda kajiongeza na sasa hiv ana organization yake anafanya vyema sana
 
Kwa hiyo kucheka suti ya Rais ni kosa? Very stupid! mnataka kufanya vijana wawe waoga kuwaogopa ndio kwanza watazidi kuzaliwa wengine.Idiots
Mnatia vijana ujinga, hujiulizi Mdude yupo wapi sasa? Hujiulizi wakina Ben wapo wapi sasa?

huyu jamaa ni suala la mda tu
 
2404406_balozi_wa_insta_CAIziOFBHj_.jpg

Yule msaani amepelekwa selo kwa sababu ya ile clip yake akionekana kuicheka hii picha? au kuna kingine?

Kama ni kuicheka hii picha,kosa lake ni lipi? amedhalilisha waliopo kwenye picha?kivipi? waliochekwa wameshtaki?wamepata damage gani?

Ukiacha yote hayo,labda pengine kwa sababu kwenye picha kuna rais,lakini ni kweli hicho kicheko kinakuwa big deal mpaka dola kuacha mambo ya msingi na kudeal na jambo kama hili?

Mambo haya tulizoea kuyasikia nchi za madikteta kama Robert Mgabe lakini leo hii tunayahuhudia hapa kwetu Tanzania
 
View attachment 1455154
Moderator naombeni sana msiunge huu uzi.

Yule msaani amepelekwa selo kwa sababu ya ile clip yake akionekana kuicheka hii picha? au kuna kingine?

Kama ni kuicheka hii picha,kosa lake ni lipi? amedhalilisha waliopo kwenye picha?kivipi? waliochekwa wameshtaki?wamepata damage gani?

Ukiacha yote hayo,labda pengine kwa sababu kwenye picha kuna rais,lakini ni kweli hicho kicheko kinakuwa big deal mpaka dola kuacha mambo ya msingi na kudeal na jambo kama hili?

Mambo haya tulizoea kuyasikia nchi za madikteta kama Robert Mgabe lakini leo hii tunayahuhudia hapa kwetu Tanzania
Yule dogo anajisahau sana....... anapaswa kufunzwa adabu!
 
Back
Top Bottom