Idris Sultan akamatwa na Polisi, anahojiwa na Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni

Idris Sultan akamatwa na Polisi, anahojiwa na Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni

Dogo kayataka mwenyewe, kaonywa Mara ya kwanza kosa lilelile anarudia, km so kiburi Basi ujuaji mwingi

Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
 
Matatizo ya kujitakia

Wakati wa utawala wa JK mwanzoni kuna Jamaa alikuwa anajiita Ze Utamu, akadhalilisha watu wengi sana mwishowe akajikuta anamdhalilisha Mkuu wa Nchi

Aliishi Michigan, watu walimtafuta kwa mbinu za medani akajikuta kaingia kwenye 18 za Nchi

Alikuja akapigwa pipe akarekodiwa then akaachiwa huru arudi zake US akaambiwa nenda kaendelee ku post, mpaka leo hajarudia, Baba yake alikuwa Waziri wakati wa Nyerere na sasa hivi mmoja wa ndugu zake wa karibu ni Mbunge

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ndugu yake mmoja hujamtaja.
 
Idris ana miaka 27?ha ha haa kwahiyo BBA y
a 2014 alishiriki akiwa na miaka 21?


Sent using Jamii Forums mobile app
Naona kule mjengoni bba alidanganya umri,coz kwa 27 na muonekano huu hapana
 
Back
Top Bottom