Idris Sultan akamatwa na Polisi, anahojiwa na Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni

Kimsingi ile ni dhihaka! Na anarudia kosa lile lile si kitu kizuri mfano iwe picha ya Baba yake mtu aipost anacheka vile yeye angejiskiaje? Mwache apate anachokitafuta
 
Kwaiyo kucheka suti ya raisi ni kosa?very stupid..mnataka kufanya vijana wawe waoga kuwaogopa ndio kwanza watazidi kuzaliwa wengine.Idiots
Bongo kuna mambo mengi ya kipumbavu ndio maana waafrika tunaonekana hatujakamilika kama binadamu
 
Huu ni uongo per se,wazee wa propaganda bana

Uwezo wa kuingia michigan na kufanya uhuni huo upo lkn uwezekano wa kutoka salama ndani ya US haupo.

Usidhani US ni kama hapo kwa mama Zakaria.

Yule chalii anaitwa MPL na alikamatiwa UK kwa ushirikiano wa Police TZ na INTERPOL,na sio huo uongo ulioleta.
 
Comrade mkamateni kigogo anazalilisha viongozi
 
Kuna siku ulimtukana Buji-Buji, atakujibu kiungwana Sana watu wote tukakuonea huruma, je alikukosea Nini?
Ungeniuliza palepale na kama alijibu kiungwana alielewa wapi alijikwaa, hakuna mtu anazuia criticism, unaweza kucriticize bila kutukana wala kudhihaki, Rais kama mkuu wa nchi ni mwiko kudhihakiwa, nenda GB kamtukane Malkia uone kitachokupata, PM wa UK waweza mdhihaki lakini sio Malkia.

Mchange katiba ili Rais asiwe mkuu wa nchi abakie tu mkuu wa serikali ndo mtukane mnavyojiskia, wasiwasi wangu ni kwamba, katiba yenu tu imewashinda ya nchi mtaweza? katiba inataka mkate wabunge posho nyie mnakata mishahara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kigogo hamuwezi kuelewa role yake kwa sasa

Mtaijua 2025

Fuatilia uanaharakati wa Chahali na Mange then rudi kwa kigogo utaelewa kama wewe ni Mkongwe kwenye Tasnia ya Siasa na michezo ya Kisiasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Kigogo ni nani? mbona unataja baadhi ya components za kitu kizima afu na hicho kitu pia unakitaja kama component? ni swala la muda tu mkuu hakuna kisichojulikana ni utashi tu wa kuchukuwa hatua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasanii wanapenda kiki Sana ndio tatizo Mana haoni jamani kioo Cha jamii yake, kazi ni kuposti uchonganishi na sio kuelimisha watu, ukiwa hujui kutumia mitandao uliza watu watakusaidia sio kujichukulia uamuzi, we should be careful to our post
 
Ulipaswa uulize mbinu gani za medani zimetumika kabla ya kukurupuka

Watu wengi sana wanafanyiziwa huko huko US labda kama si mfuatiliaji
Huu ni uongo per se,wazee wa propaganda bana

Uwezo wa kuingia michigan na kufanya uhuni huo upo lkn uwezekano wa kutoka salama ndani ya US haupo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kambaku,

Hukuna kosa alilofanya. Sema CCM mmeamua kutunga makosa yenu. Mtu hata akikuambia " sura yako" akaishia hapo. Basi mnaona ni tusi mnakimbilia kumpeleka mahakamani.

Hizi ndizo kesi alikutana nazo sana tundu lisu ila aliwashinda mpaka wakamtafta kivingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…