Idris Sultan akamatwa na Polisi, anahojiwa na Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni

Idris Sultan akamatwa na Polisi, anahojiwa na Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni

Acha akili za kijinga Serikali ina mambo mengi ya msingi ya kufanya kuliko kuhangaika na mchekeshaji.

Kuna sehemu hata umeme na maji hakuna, kuhangaika na mchekeshaji ni kupoteza muda

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanalipwa mishahara wa serikali kushughulika na hayawani kama hawa so usiogope!
 
View attachment 1455154
Moderator naombeni sana msiunge huu uzi.

Yule msaani amepelekwa selo kwa sababu ya ile clip yake akionekana kuicheka hii picha? au kuna kingine?

Kama ni kuicheka hii picha,kosa lake ni lipi? amedhalilisha waliopo kwenye picha?kivipi? waliochekwa wameshtaki?wamepata damage gani?

Ukiacha yote hayo,labda pengine kwa sababu kwenye picha kuna rais,lakini ni kweli hicho kicheko kinakuwa big deal mpaka dola kuacha mambo ya msingi na kudeal na jambo kama hili?

Mambo haya tulizoea kuyasikia nchi za madikteta kama Robert Mgabe lakini leo hii tunayahuhudia hapa kwetu Tanzania
Hamna picha ya wazazi wa huyo dogo ya zamani tuipost naye afurahi...
Maana kanuni inasema usimtendee mtu kile wewe hupendi tendewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna picha ya wazazi wa huyo dogo ya zamani tuipost naye afurahi...
Maana kanuni inasema usimtendee mtu kile wewe hupendi tendewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo kosa kuifurahi picha ya hao wazazi?does it sense. we mzazi wako nikimcheka picha yake utanifunga?au ndo matumizi ya madaraka?hembu tuambie sasa kavunja sheria ipi hata kama ni sheria za kidkiteta
 
Kwa ufupi Idris ni mpumbavu! Unafahamu utawala wenyewe jinsi ulivyo, ulipotezewa mara ya kwanza halafu unarudia kilekile unachotafuta ni kipi?

Hatetei haki ya namna yoyote zaidi ya kuchekesha! Kwa nini asiwe mbunifu? Joti, Kingwendu, Mpoki na wengineo mbona sanaa yao wanaipiga fresh tu!

Ngoja akanyooshwe kwanza!
 
Yule dogo anajisahau sana....... anapaswa kufunzwa adabu!
Not really

Artistic freedom ni kitu cha muhimu.....

This is insane bullying little guys by expressing their humor?

Yeye kama leader of a democratic nation ni wajibu wake kumlinda huyu artist atoe maoni yake bila kubugudhiwa hata kama huo usanii unamuudhi yeye binafsi!

Thats free democratic nation!

These are values,we should cherish them!

La sivyo nchi itakua autocratic full of tyrannies miaka ijayo!

Siafiki kabisa huyu msanii kufanyiwa hivi!
 
Back
Top Bottom