Idris Sultan athibitisha kuwa Wema Sepetu ana mimba yake



Hahaha noma sana

Mpaka hirizi wema atakua maimuna
 
Alafu kama idrisa ndio kamdunya iyo mimba baba mtoto ana miaka 21 [emoji1] [emoji1] [emoji1] najaribu kufikiri walivyokuwa wanasema diamond mdogo kwa Wema sasa huyu idrisa cjui ndio atakuwa mtoto wa wema[emoji15]


noo 25,1991 hadi leo ni 22??
 
Kunanile audio ya ya kumdiss diamond kumvisha pete wema enzi zile za bbm sasa itamhusu huyu dogo daahh.....
 
Hahaha noma sana

Mpaka hirizi wema atakua maimuna

Wema alitaka kumfanya kafara Mondi kwa kuifukia nyota yake....yule ni Muha wa Kigoma kwao uchawi ni chakula....awachezee hao hao kina Idriss kwa kuwafanya misukule. Aunt (Ezekiel) alitumiwa karibu mimba imtoke, naye akashituka akasepa maana alibebeshwa hand bags za Wema mpaka akachoka. Wema si bure anatumia midudu washa tu (mambo ya jadi) kuwageuza watu misukule. We nani anaona ufahari kubebeshwa mikoba na kumfutia vumbi Wema kama si kukosa akili?
 


Mkuu, yule Aunt Ezekile alikuwa anabeba mikoba ya Wema kulipiza fadhila kwani alikuwa ana nadiwa kwa kale kayanki mbilikimo mcheza shoo wa Mondi ili apigwe pumbu. Baada ya pumbu kumkolea akajitolea kuwa house girl wa Wema japo wengine walisema kuwa alikuwa anaelekea kuwa msukule maana alikuwa anapenda sana kubebeshwa mizigo na Mama wa Misukule.
 
Bora sasa wamuache Diamond na familia yake. Idris naomba umpe mahaba moto moto amsahau Simba. Maana it was more than stalking or obsession.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…