Idris Sultan: Nilipokuwa na Wema Sepetu nilikumbwa na Ukata


Umelipwa shs ngapi kumtetea wema
 
Dah.. Hivi mtu anaweza kushika milioni mia tano afu akarudi kuajiriwa tena kwa mshahara mbuzi!
Hata Mimi najiuliza swali hilohilo, Ila najiuliza kwa uchungu!!! But huenda ana uwekezaji wake sisi ndio hatujui
 
Yeye bado ana ndoto za Kumrudisha Diamond kwenye himaya yake!!Yaani hata kama wasipodumu ila nia yake ni kumkomoa Zari tu[emoji23][emoji23]Wema amechelewa sana kupata akili
 
Hahahaha bibie wamchezo...pale ni znatoka tu....
 
Milioni 100 tu kati ya 500 alipata zingetosha kabisa kuwekeza kwenye kilimo cha mpunga mbarali huko sasa hivi angekua ana msogelea bakhresa kwa karibu kabisa,katapanya mapesa manina sasa hiv anaambulia kuwa mtangazaji wa karedio kakipuuzi puuzi
 
Binadamu bhana alizitafuta kwa jasho lake,hakuna aliyemkopesha wala kumpa,na sasa kama HANA bado yeye ndio muamuzi wa maisha yake kama ilivyo kwa wewe na mimi,kila mtu atapambana kwa ajili ya maisha yake.
Tulimpigia kura sisi
 
Kiukweli wala simlaumu idriss,kwa ule mzigo wa wema na Mimi nikipata hela lazima anifilisi kidogo.....ule mzigo hatari jamani ,nyie ujadilini tu hivihivi ktk mitandao usikutane nao live,,Mungu atusaidie
Ushawahi kuuona nn
 
habari za ndani zinasema wamerudiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…