Idris Sultan Yamemfika Hapaa

Na angefulia mapemaa mana aliambiwa anunue Range Rover kwa ajil ya Wema akastuka
 
Kwani ukishaachana na mtu inachukua muda gani hadi kunyonyana ulimi na mwingine?
Tuache double standard, kuna Mzee mmoja kaoa kabinti majuzi huku amekazalisha na ana ndoa na vimada na wote ni maceleb na mbona hamkusema sema? Wema ni brand, anauza, inafika mahali magazeti hutunga habari ili wauze kwa hiyo ni kawaida kufuatiliwa kila hatua... Hata wewe ukimuona mahali suspicious utakuja kuanzisha uzi hapa.
Tumtendee haki Madame, chuki ni bure...
 
Wapambe walianza na bring back our wema wakamsema diamond wema akajaa akamwaga diamond jamaa akamove on akaopoa mtoto mkaleez zaid.
Wakaanza mtukana kama vile yeye ndiye alimwacha madam wengine wakaenda mbali zaid hadi kumwita women bully.
Baadae wakaona huyu mbona anazidi tu kusonga na no matter madam ana mdate nani hakuna mwenye jina kama mond wakaamua anza mtukana zari.
idriss kwa kupenda sifa kajibebesha zigo ambalo sasa limemshinda.
Sasa wale waliosema bring back our wema ndiyo wale wale sasa wanaunga unga matukio na wako kwenye kampen wema na mondi warudiane.
Sijawah waelewa timu madam aisee
 
Mchekeshaji kupitia media gani? Wanamuita shemeji kwa nani? Mwenye kapicha kake tafadhali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…