Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He has never beenIdris is not smart any more.
Pesa za usiku wa vigoma hizo. Yaan yule dada kweli mpenda sifaNiliona insta madame akimwaga pesa kumtunza birthday boy Dj Rommy.
Kwani ukishaachana na mtu inachukua muda gani hadi kunyonyana ulimi na mwingine?Wewe VP Na huyo wema sio bure Pesa ya kigodoro cha juzi umegawiwa uje utetee ujinga.....Yeye Wema huwa anajiahibisha sana Mara ghafra akiachana Na MTU huyo bila hasa subira kesho Bar yupo Na wakongo ananyonyanaaa nao ulimi..What kind of a person you want yo cover
i AgreeMkuu Bavaria the guy has never been smart anyway
Screen shots muhimu binamu, do the needful puliizzzz
nipo mzee, za uzima?Upo?
nipo mzee, za uzima?
Haha are you invited?Nzuri sana, nasubiri birthday ya Tiffah nimpeleke mwanangu, maana niliona umeandika mahali kwamba ni next week.
Haha are you invited?
Mmh sijajua, ngoja ntakuulizia kwa ba mkubwa tiffah Le bahariaHa ha ha, kwani kuna invitation? Si tumeambia ni mtoto wa taifa?
Hahaha mnialike na mimi, angalau nipige picha na m-babesHa ha ha, Le Baharia! Umenikumbusha kitu, Benny alisema ataongea na jamaa tupate breakfast Double Tree Hilton tena kama vipi tukutane na supa moguls!
Teh mkurya anajiamini sana yule hadi naogopa. Kwa viwango vyake vya ufilipino, he is simply "Irreplaceable"Namvomjua Benny kwa wivu sahau mwaliko kabisa, maana anaogopa usije kukutana na The Super Moguls