Idris Sultan Yamemfika Hapaa

Idris Sultan Yamemfika Hapaa

Wewe VP Na huyo wema sio bure Pesa ya kigodoro cha juzi umegawiwa uje utetee ujinga.....Yeye Wema huwa anajiahibisha sana Mara ghafra akiachana Na MTU huyo bila hasa subira kesho Bar yupo Na wakongo ananyonyanaaa nao ulimi..What kind of a person you want yo cover
Kwani ukishaachana na mtu inachukua muda gani hadi kunyonyana ulimi na mwingine?
Tuache double standard, kuna Mzee mmoja kaoa kabinti majuzi huku amekazalisha na ana ndoa na vimada na wote ni maceleb na mbona hamkusema sema? Wema ni brand, anauza, inafika mahali magazeti hutunga habari ili wauze kwa hiyo ni kawaida kufuatiliwa kila hatua... Hata wewe ukimuona mahali suspicious utakuja kuanzisha uzi hapa.
Tumtendee haki Madame, chuki ni bure...
 
Wapambe walianza na bring back our wema wakamsema diamond wema akajaa akamwaga diamond jamaa akamove on akaopoa mtoto mkaleez zaid.
Wakaanza mtukana kama vile yeye ndiye alimwacha madam wengine wakaenda mbali zaid hadi kumwita women bully.
Baadae wakaona huyu mbona anazidi tu kusonga na no matter madam ana mdate nani hakuna mwenye jina kama mond wakaamua anza mtukana zari.
idriss kwa kupenda sifa kajibebesha zigo ambalo sasa limemshinda.
Sasa wale waliosema bring back our wema ndiyo wale wale sasa wanaunga unga matukio na wako kwenye kampen wema na mondi warudiane.
Sijawah waelewa timu madam aisee
 
Mchekeshaji kupitia media gani? Wanamuita shemeji kwa nani? Mwenye kapicha kake tafadhali!
 
Back
Top Bottom