IDU tunafatilia njama za kumuwekea Lissu sumu Gerezani

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
IDU wametoa statement ya kufatilia tetesi za mpango wa makatili kumuwekea Lissu sumu.

Itakumbukwa ya kuwa Lissu amekuwa mwiba mchungu kwa serikali za Tanzania.

IUD wamesema watatoa daily update kuhusu njama izo.
=============
IDU imeshtushwa na taarifa za jaribio la kumtilia sumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu akiwa chini ya ulinzi. Tunazitaka mamlaka za Tanzania kulinda maisha, afya na haki zake. Madhara yoyote yatakuwa chini ya dhamana ya Serikali ya Tanzania. Dunia inatazama

IMG_20250702_191301.jpg
Screenshot_20250702-195100.png
 
IDU wametoa statement ya kufatilia tetesi za mpango wa makatili kumuwekea Lissu sumu.

Itakumbukwa ya kuwa Lissu amekuwa mwiba mchungu kwa serikali za Tanzania.

IUD wamesema watatoa daily update kuhusu njama izo.

Mto wa Mbu,
Illinois
Mbona hueleweki,juzi ulisema jana lissu angeachiwa,mara kuna vikwazo konki CCM wamebanwa na wazungu watalazimika kumwachia lissu,leo wanataka kumpa sumu,sasa wakimpa sumu si itajulikana ni wao!?
 
IDU wametoa statement ya kufatilia tetesi za mpango wa makatili kumuwekea Lissu sumu.

Itakumbukwa ya kuwa Lissu amekuwa mwiba mchungu kwa serikali za Tanzania.

IUD wamesema watatoa daily update kuhusu njama izo.
=============
IDU imeshtushwa na taarifa za jaribio la kumtilia sumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu akiwa chini ya ulinzi. Tunazitaka mamlaka za Tanzania kulinda maisha, afya na haki zake. Madhara yoyote yatakuwa chini ya dhamana ya Serikali ya Tanzania. Dunia inatazama

Mzanzibari amenogewa na damu za Watanganyika anawaza kuua tu.
 
Back
Top Bottom