IDU tunafatilia njama za kumuwekea Lissu sumu Gerezani

IDU wametoa statement ya kufatilia tetesi za mpango wa makatili kumuwekea Lissu sumu.

Itakumbukwa ya kuwa Lissu amekuwa mwiba mchungu kwa serikali za Tanzania.

IUD wamesema watatoa daily update kuhusu njama izo.
=============
IDU imeshtushwa na taarifa za jaribio la kumtilia sumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu akiwa chini ya ulinzi. Tunazitaka mamlaka za Tanzania kulinda maisha, afya na haki zake. Madhara yoyote yatakuwa chini ya dhamana ya Serikali ya Tanzania. Dunia inatazama

Itakuwa jambo baya sana.....Lissu aachwe tu aongee atakavyo sioni haja ya kuangaika nae
 
IDU wametoa statement ya kufatilia tetesi za mpango wa makatili kumuwekea Lissu sumu.

Itakumbukwa ya kuwa Lissu amekuwa mwiba mchungu kwa serikali za Tanzania.

IUD wamesema watatoa daily update kuhusu njama izo.
=============
IDU imeshtushwa na taarifa za jaribio la kumtilia sumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu akiwa chini ya ulinzi. Tunazitaka mamlaka za Tanzania kulinda maisha, afya na haki zake. Madhara yoyote yatakuwa chini ya dhamana ya Serikali ya Tanzania. Dunia inatazama

Tatizo Lisu akiwa mahakamani anaonekana mwemye afya, bashasha na kujiamini sana. Washindani wake hawapendi.
 
Kwa magumu aliyopitia Lissu,na magumu aliyonayo,Mimi siwezi,either Mimi ni muoga sina akili,au Lissu ni jasiri asiye na akili
 
Back
Top Bottom