IDU tunafatilia njama za kumuwekea Lissu sumu Gerezani

IDU tunafatilia njama za kumuwekea Lissu sumu Gerezani

Kwa magumu aliyopitia Lissu,na magumu aliyonayo,Mimi siwezi,either Mimi ni muoga sina akili,au Lissu ni jasiri asiye na akili
Wewe kuna uzi umeandika lissu anapambania maslahi yake sio watz kwahiyo inakuwaje anakosa akili hapo
 
IDU wametoa statement ya kufatilia tetesi za mpango wa makatili kumuwekea Lissu sumu.

Itakumbukwa ya kuwa Lissu amekuwa mwiba mchungu kwa serikali za Tanzania.

IUD wamesema watatoa daily update kuhusu njama izo.
=============
IDU imeshtushwa na taarifa za jaribio la kumtilia sumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu akiwa chini ya ulinzi. Tunazitaka mamlaka za Tanzania kulinda maisha, afya na haki zake. Madhara yoyote yatakuwa chini ya dhamana ya Serikali ya Tanzania. Dunia inatazama

Mungu Wangu tenda miujiza
 
hatuna sababu ya kumuua Lissu, chama kisichokuwa na wagombea tumiogopee nini? Trump alikuwa na uwezo wa kumwangamiza Ayatollah angemwangamiza nchi ingekosa coordination na isingetawalika. kosa hilo lilifanyika somalia libya na iraq balitarudiwa tena, Lissu ni coordination muhimu tutakapohitaji maridhiano nakini maamuzi yake ya kipuuzi ni muhimu pia.

alivyowafuta uanachama covid 19, wale watu wakawa vibogoyo, hivyo ujinga wa lissu ni mtaji muhimu kwa wapigaji.
 
Mchambuzi wa mama
 
Mmekazana na kampeni za matukio ya taharuki,ikikaribia kesi ya lissu mtakuja na mengine
Lakni ndugu kama unahisia basi wala siwakubishana na lolote juu ya anayofanyiwa Lissu na serikali pamoja na ccm yake. Kabla ya kukamatwa ilitoka taarifa kama atakamatwa na kupewa kesi isiyo na dhamana jee haikutokea? Kabla ya kupigwa risasi alisema anafuatiliwa na watu wasiojulikana na taarifa za gari alitoa jee serikali ilichukua hatua gani?
Kuna mambo japo hayakuumizi kwa sababu hayako kwenye hisia zako ila uwe na ubinadamu tu.

Ipo siku utafikwa na matatizo ambayo utahitaji msaada kwa hayo unayoyadharu sasahivi kwa wengine.

Ushauri wangu pumzi isikuhadae kwa sababu uccm. Magufuli alikuwa analindwa na kila aina ya silaha lakini walinzi walishindwa ni kukizuia kifo.
 
Lisu akiuawa tutakosa wote hata wasiohuaika!.. alindwe sana maana yeye ni utambi uliokwisha kushika moto
 
IDU wametoa statement ya kufatilia tetesi za mpango wa makatili kumuwekea Lissu sumu.

Itakumbukwa ya kuwa Lissu amekuwa mwiba mchungu kwa serikali za Tanzania.

IUD wamesema watatoa daily update kuhusu njama izo.
=============
IDU imeshtushwa na taarifa za jaribio la kumtilia sumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu akiwa chini ya ulinzi. Tunazitaka mamlaka za Tanzania kulinda maisha, afya na haki zake. Madhara yoyote yatakuwa chini ya dhamana ya Serikali ya Tanzania. Dunia inatazama

Breaking News:
DANGER⚡ ⚡:
Tundu Lissu alishwa sumu gerezani

View: https://youtu.be/smbx2Egg-IY?si=TLSmIZGWNlnn2gr7
 
Sasa kama walimfunga bila kosa wakimuua nani ataongea so acheni uchochezi kwanza hamna msaada bure tu.
 
Back
Top Bottom