Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Mungu wabariki Wazungu
Sumu sio lazima kwenye chakula, wanaweza weka hata mahala anapolala, ccm dio watuSidhani Lissu anakula chakula cha gereza
Tuna ndugu tumewapelekea chakula daily miaka 3 enzi za Magu. Na hawakuwa watu wenye uwezo au support kubwa sana.
Sembuse Lissu.
Huo mfupa umekwamia pabaya sanaKwa Sasa ni ngumu mno kumuua Lissu
Yeyote atakayejaribu atakufa yeye Kama ilivyoandikwa!!
IDU wametoa statement ya kufatilia tetesi za mpango wa makatili kumuwekea Lissu sumu.
Itakumbukwa ya kuwa Lissu amekuwa mwiba mchungu kwa serikali za Tanzania.
IUD wamesema watatoa daily update kuhusu njama izo.
=============
IDU imeshtushwa na taarifa za jaribio la kumtilia sumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu akiwa chini ya ulinzi. Tunazitaka mamlaka za Tanzania kulinda maisha, afya na haki zake. Madhara yoyote yatakuwa chini ya dhamana ya Serikali ya Tanzania. Dunia inatazama
Weee, unapewa sumu ya taratibu ambapi baadae sana utasikia maini yamefeil, kama magonjwa mengine. Lisu akitoka gerezani lazima akachunguzwe afya yake nje.Mbona hueleweki,juzi ulisema jana lissu angeachiwa,mara kuna vikwazo konki CCM wamebanwa na wazungu watalazimika kumwachia lissu,leo wanataka kumpa sumu,sasa wakimpa sumu si itajulikana ni wao!?
wataenda gerezani walinzi wakiwa wamelala eeee.,.. unajua kuwazaaWrite your reply...watamuwekea wao akifa waseme serikali imemuua
Hao waliopewa kinga ndio haooo..But there are fools in the government.
Wanyaturu ukiondoa wale walioko CCM hawajawahi kuwa wanyongeIla huyu mwamba ni mbishi
Unauliza wamejuaje wakati simu internet sijui upupu gani vyote ni vyao sisi ni watumiaji tu.Wao wamejuaje? Uchonganishi uho
Kingunge alishambuliwa na mbwa wake, hakuwa na madhara yoyote kwa ccm,na angerudi tu maana aliyemfata alirudiWeee, unapewa sumu ya taratibu ambapi baadae sana utasikia maini yamefeil, kama magonjwa mengine. Lisu akitoka gerezani lazima akachunguzwe afya yake nje.
Nikung'ate sikio; Kingunge alivyopotezwa unadhani ni kawaida ile!
Muungano ufe Tanganyika idai uhuru wakeMzanzibari amenogewa na damu za Watanganyika anawaza kuua tu.
Ukweli wako ni wewe kuua kuteka kuwabambikia kesi za uongo?Uongo
Wachunguzi wa mahakama ya uhalifu wa kimataifa ICC The Hague wapo Tanzania wanachunguza watesi woteKwani walijuaje Makonda anadhurumu watu uhai na hakuna kanusho hadi sasa...?
Mwehu kileo chawa wa mbowe umejianika huku?Mungu wabariki Wazungu
Hivi mkuu wa Gereza la Ukonga ni nani?IDU wametoa statement ya kufatilia tetesi za mpango wa makatili kumuwekea Lissu sumu.
Itakumbukwa ya kuwa Lissu amekuwa mwiba mchungu kwa serikali za Tanzania.
IUD wamesema watatoa daily update kuhusu njama izo.
=============
IDU imeshtushwa na taarifa za jaribio la kumtilia sumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu akiwa chini ya ulinzi. Tunazitaka mamlaka za Tanzania kulinda maisha, afya na haki zake. Madhara yoyote yatakuwa chini ya dhamana ya Serikali ya Tanzania. Dunia inatazama
Mama Abdul anajikaanga, washauri wake wanampotosha ile mbaya. Wanamsubiri aanguke wamcheke kama kawaida yao.IDU wametoa statement ya kufatilia tetesi za mpango wa makatili kumuwekea Lissu sumu.
Itakumbukwa ya kuwa Lissu amekuwa mwiba mchungu kwa serikali za Tanzania.
IUD wamesema watatoa daily update kuhusu njama izo.
=============
IDU imeshtushwa na taarifa za jaribio la kumtilia sumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu akiwa chini ya ulinzi. Tunazitaka mamlaka za Tanzania kulinda maisha, afya na haki zake. Madhara yoyote yatakuwa chini ya dhamana ya Serikali ya Tanzania. Dunia inatazama
God bless you broIDU wametoa statement ya kufatilia tetesi za mpango wa makatili kumuwekea Lissu sumu.
Itakumbukwa ya kuwa Lissu amekuwa mwiba mchungu kwa serikali za Tanzania.
IUD wamesema watatoa daily update kuhusu njama izo.
=============
IDU imeshtushwa na taarifa za jaribio la kumtilia sumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu akiwa chini ya ulinzi. Tunazitaka mamlaka za Tanzania kulinda maisha, afya na haki zake. Madhara yoyote yatakuwa chini ya dhamana ya Serikali ya Tanzania. Dunia inatazama
Hizo "tetesi" zimeanzia wapi kuwafikia hao waliotoa statement? Hizo tetesi ni credible kiasi gani? Chanzo cha tetesi siyo chadema wenyewe? Kulingana na mazingira yalivyo sasa hivi, chadema wanaweza kusema chochote ili hali ya hewa ichafuke.IDU wametoa statement ya kufatilia tetesi za mpango wa makatili kumuwekea Lissu sumu.
Mtu kaenda kuchinjwa muhimbili.The gvt is not a fool my friend