IDU tunafatilia njama za kumuwekea Lissu sumu Gerezani

Ukishaanza kuua watu wala hujali tena, unakuwa kama mwendawazimu vile

Na ndiyo maana wenye akili wanajiondoa kwenye utawala wake. Hawaamini kama ana akili timamu. Wanataka wakae nje waone atakapoishia. Taifa halijawahi kuwa kwenye mtanziko wa kishetani kwa kiwango hiki tangu kuwepo kwake.
 
Wanafuatilia kupitia vyanzo gani?

Wame-infiltrate magereza ya Tanzania na vyombo vyetu vya usalama?

Vinginevyo njia pekee ya kujuwa kama Lissu kawekewa sumu ni kama kuna taarifa za kukimbizwa hospitali.

Lakini akili zetu watanzania.

Ukiwa na akili timamu na utaratibu wako wa maisha ni mwingine; lazima kubali yaishe.

Unaenda na bits za mtindo wa siasa.

Wanasiasa wenyewe sasa, 90% ni watu wenye ufaulu mdogo.

Sasa hao IDU watajua vipi kwa sasa, kama Lissu hayupo hospitali.

Either ni wachochezi au wameingilia systems zetu.

The nonsense
 
Kwa Sasa ni ngumu mno kumuua Lissu

Yeyote atakayejaribu atakufa yeye Kama ilivyoandikwa!!

Taabu huwa mtu anaweza uwawa pole pole ndani hata ya mwaka 1 au zaidi kwa sumu au hujuma ya juzi.
 
IDU wametoa statement ya kufatilia tetesi za mpango wa makatili kumuwekea Lissu sumu.

Itakumbukwa ya kuwa Lissu amekuwa mwiba mchungu kwa serikali za Tanzania.

IUD wamesema watatoa daily update kuhusu njama izo.
=============
IDU imeshtushwa na taarifa za jaribio la kumtilia sumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu akiwa chini ya ulinzi. Tunazitaka mamlaka za Tanzania kulinda maisha, afya na haki zake. Madhara yoyote yatakuwa chini ya dhamana ya Serikali ya Tanzania. Dunia inatazama

Mbona Putin alimuua Navanyi wakapiga kelele lakini baadae wakakaa kimya. Hizo ni kelele tu. Lisu lazima apewe sumu na hamna cha kumfanya Samia
 
Taabu huwa mtu anaweza uwawa pole pole ndani hata ya mwaka 1 au zaidi kwa sumu au hujuma ya juzi.
Walimfanyia hivyo Membe, Magufuli, Lowassa, Sitta na mwakyembe lkn mwakyembe si bado unaona yupo

Mungu ndiye kila kitu
 
IDU wametoa statement ya kufatilia tetesi za mpango wa makatili kumuwekea Lissu sumu.

Itakumbukwa ya kuwa Lissu amekuwa mwiba mchungu kwa serikali za Tanzania.

IUD wamesema watatoa daily update kuhusu njama izo.
=============
IDU imeshtushwa na taarifa za jaribio la kumtilia sumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu akiwa chini ya ulinzi. Tunazitaka mamlaka za Tanzania kulinda maisha, afya na haki zake. Madhara yoyote yatakuwa chini ya dhamana ya Serikali ya Tanzania. Dunia inatazama

Umakini unapaswa kuchukuliwa Sana, kwa sasa hakuna mpinzani anayeisumbua serikali kwa sasa kama lissu...
 
IDU wametoa statement ya kufatilia tetesi za mpango wa makatili kumuwekea Lissu sumu.

Itakumbukwa ya kuwa Lissu amekuwa mwiba mchungu kwa serikali za Tanzania.

IUD wamesema watatoa daily update kuhusu njama izo.
=============
IDU imeshtushwa na taarifa za jaribio la kumtilia sumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu akiwa chini ya ulinzi. Tunazitaka mamlaka za Tanzania kulinda maisha, afya na haki zake. Madhara yoyote yatakuwa chini ya dhamana ya Serikali ya Tanzania. Dunia inatazama

Yaani ukimkosa ntu kwenye uhaini, inabidi utumiya njia mbadala
 
Back
Top Bottom