IDU tunafatilia njama za kumuwekea Lissu sumu Gerezani

IDU tunafatilia njama za kumuwekea Lissu sumu Gerezani

Ccm
IDU wametoa statement ya kufatilia tetesi za mpango wa makatili kumuwekea Lissu sumu.

Itakumbukwa ya kuwa Lissu amekuwa mwiba mchungu kwa serikali za Tanzania.

IUD wamesema watatoa daily update kuhusu njama izo.
=============
IDU imeshtushwa na taarifa za jaribio la kumtilia sumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu akiwa chini ya ulinzi. Tunazitaka mamlaka za Tanzania kulinda maisha, afya na haki zake. Madhara yoyote yatakuwa chini ya dhamana ya Serikali ya Tanzania. Dunia inatazama

[/QUOTE
CCM hawashindwi kitu kabisa
Mwakyembe akapigwa sumu.
Dkt Mgimwa akapigwa sumu
Mangula mtu mzito CHAMANI akapigwa sumu
Makonda akapigwa sumu

So CCM na Watu wao huwa hawashidwi kufanya jambo la kipumbavu aseee.
Ikiwa Mbowe alipewa kesi ya ugaid na Lisu sasa ya uhaini na wote viongozi wakubwa wa chama kikuu cha upinzani watashindwa kumuua.

Wenzetu wapo very intelligent hawawezi kuongea bila evidence itakua wanataka kumsumisha Lissu.

Nitafanya maombi kwa ajili ya Lissu leo usiku watesi washindwe
 
Sidhani Lissu anakula chakula cha gereza

Tuna ndugu tumewapelekea chakula daily miaka 3 enzi za Magu. Na hawakuwa watu wenye uwezo au support kubwa sana.

Sembuse Lissu.

Sasa kama walimnyima haki zake na kumuweka kwenye death row cell unafikiri kuna kitu ambacho hawawezi kumfanyia hawa Mbweha.....!!?
 
Na trump kasema anatafakari njia Kali ya kuwachukulia viongozi wa Tanzania kuhusu uminyaji wa uhuru.
 
Sasa kama walimnyima haki zake na kumuweka kwenye death row cell unafikiri kuna kitu ambacho hawawezi kumfanyia hawa Mbweha.....!!?
Mahabusu wanakula chakula cha kuletewa kama kikiletwa. Sidhani kama Lissu anakula chakula cha gereza.
 
Back
Top Bottom