LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
Chama na ndugu wajipange kumpelekea CHAKULA na huduma zingine, serikali za kiafrika haziaminiki...
Polonium. Na wale warusi waliokuja wakati wa sherehe za CCM mmmmmmmmmmmmmmmIDU wametoa statement ya kufatilia tetesi za mpango wa makatili kumuwekea Lissu sumu.
Itakumbukwa ya kuwa Lissu amekuwa mwiba mchungu kwa serikali za Tanzania.
IUD wamesema watatoa daily update kuhusu njama izo.
=============
IDU imeshtushwa na taarifa za jaribio la kumtilia sumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu akiwa chini ya ulinzi. Tunazitaka mamlaka za Tanzania kulinda maisha, afya na haki zake. Madhara yoyote yatakuwa chini ya dhamana ya Serikali ya Tanzania. Dunia inatazama
Nduu yangu, andika kwa lugha yako, kizungu hukijui, unajiaibishaWho care?
Hapo ndipo watu wengi wanapokosea kutoa hukumu pasipo kufanya upelelezi wakutosha.manataka kuaminisha ulimwengu kuwa maadui wa Tundu LISSU labda ni serikali pekee ( kama kweli selikali ina uaduwi na Tl )?common guys ? hivi kuwakosesha watu kugombea kwenye uchaguzi wa mwaka huu mnaona watu wa chadema wamefurahi kabisa? hawawezi kufanya lolote? aisee ,hata YESU hakujua kama yuda mtunza hazina angemsaliti vile .kwa hiyo tusiinyoshee kidole serikali pasipokuwa na ushahidi wa kutosha.lakini pia ,chadema weneyewe wanaweza kutengeneza tukio kuonyesha kuwa serikali ni ovu .upelelezi ufanyike.Nachofurai imekuingia😁
Mahabusu wanakula chakula cha kuletewa kama kikiletwa. Sidhani kama Lissu anakula chakula cha gereza.
Wazungu wanaipenda sana CHADEMA na Tanzania ... tuendelee kuwaombea wazungu .R.I.P Sankara,Gadaff .P.LumumbaIDU wametoa statement ya kufatilia tetesi za mpango wa makatili kumuwekea Lissu sumu.
Itakumbukwa ya kuwa Lissu amekuwa mwiba mchungu kwa serikali za Tanzania.
IUD wamesema watatoa daily update kuhusu njama izo.
=============
IDU imeshtushwa na taarifa za jaribio la kumtilia sumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu akiwa chini ya ulinzi. Tunazitaka mamlaka za Tanzania kulinda maisha, afya na haki zake. Madhara yoyote yatakuwa chini ya dhamana ya Serikali ya Tanzania. Dunia inatazama
Wazungu wanaipenda sana CHADEMA na Tanzania ... tuendelee kuwaombea wazungu .R.I.P Sankara,Gadaff .P.Lumumba
Yaani wewe acha tu...yaani kuna kundi flani linataka tufarakane na nchi iwe na shidaView attachment 3392527
wazungu wanatuona wajinga aisee.eti kuna report ya kutaka kulishwa sumu.......what is report ? report ni matokea ya upelelezi kufanyika .kuna tofauti ya report na news ( habari ).sasa wanasema kuna report ,whcih means walikuwa wanafanya upelelezi. tuwe macho.kuna kundi linachafua nchi
Waendelea na israel na iran watuacheIDU wametoa statement ya kufatilia tetesi za mpango wa makatili kumuwekea Lissu sumu.
Itakumbukwa ya kuwa Lissu amekuwa mwiba mchungu kwa serikali za Tanzania.
IUD wamesema watatoa daily update kuhusu njama izo.
=============
IDU imeshtushwa na taarifa za jaribio la kumtilia sumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu akiwa chini ya ulinzi. Tunazitaka mamlaka za Tanzania kulinda maisha, afya na haki zake. Madhara yoyote yatakuwa chini ya dhamana ya Serikali ya Tanzania. Dunia inatazama
Unajionaga unaakili kumbe una uwezo mdogo sana kuna wanaharakati, na wanasiasa wengi sana wamefia gerezani au na hili hulijuiWanafuatilia kupitia vyanzo gani?
Wame-infiltrate magereza ya Tanzania na vyombo vyetu vya usalama?
Vinginevyo njia pekee ya kujuwa kama Lissu kawekewa sumu ni kama kuna taarifa za kukimbizwa hospitali.
Lakini akili zetu watanzania.
Ukiwa na akili timamu na utaratibu wako wa maisha ni mwingine; lazima kubali yaishe.
Unaenda na bits za mtindo wa siasa.
Wanasiasa wenyewe sasa, 90% ni watu wenye ufaulu mdogo.
Sasa hao IDU watajua vipi kwa sasa, kama Lissu hayupo hospitali.
Either ni wachochezi au wameingilia systems zetu.
The nonsense
Sasa hiyo siyo report bali tetesi au taarifa.unaposema kuna report maana yake ufanya upelelezi na kupata uhakika wa taarifa hizo.Unajionaga unaakili kumbe una uwezo mdogo sana kuna wanaharakati, na wanasiasa wengi sana wamefia gerezani au na hili hulijui
Kwa hiyo unataka waseme chanzo hadharani mbona maisha sio marahisi hivyo
Kwani si mtu anaweza penyeza taarifa wakati mnapanga mbinu mbaya kuna ambao ni miongoni mwenu hawafurahii na ndo hao wanavujisha habari au na hili hulijui
Then, this sounds like a fool's statement!The gvt is not a fool my friend
Hakuna wa kumuwekea sumu ndege aliye tunduniIDU wametoa statement ya kufatilia tetesi za mpango wa makatili kumuwekea Lissu sumu.
Itakumbukwa ya kuwa Lissu amekuwa mwiba mchungu kwa serikali za Tanzania.
IUD wamesema watatoa daily update kuhusu njama izo.
=============
IDU imeshtushwa na taarifa za jaribio la kumtilia sumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu akiwa chini ya ulinzi. Tunazitaka mamlaka za Tanzania kulinda maisha, afya na haki zake. Madhara yoyote yatakuwa chini ya dhamana ya Serikali ya Tanzania. Dunia inatazama
Chizi karogwa tenaUnajionaga unaakili kumbe una uwezo mdogo sana kuna wanaharakati, na wanasiasa wengi sana wamefia gerezani au na hili hulijui
Kwa hiyo unataka waseme chanzo hadharani mbona maisha sio marahisi hivyo
Kwani si mtu anaweza penyeza taarifa wakati mnapanga mbinu mbaya kuna ambao ni miongoni mwenu hawafurahii na ndo hao wanavujisha habari au na hili hulijui
Ndio ujue hujui kibano kinavyobanwa kwa mpangilio ulionyooka kama rulaKingunge alishambuliwa na mbwa wake, hakuwa na madhara yoyote kwa ccm,na angerudi tu maana aliyemfata alirudi
Siyo kweli, acheni kuunda unda storyNdio ujue hujui kibano kinavyobanwa kwa mpangilio ulionyooka kama rula
usichimbe zaidi; unajua mzee yule anasiri nyingi kichwani kwa nyazfa alizopitia.Siyo kweli, acheni kuunda unda story
Siri gani aliyokua nayo kumzidi lowasa?usichimbe zaidi; unajua mzee yule anasiri nyingi kichwani kwa nyazfa alizopitia.
alikuwa mshauri wa rais kipindi kirefu, Ni mtengeneza maamuzi kama hukulijua hiloSiri gani aliyokua nayo kumzidi lowasa?