Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
The gvt is not a fool my friend
Who care?The gvt is not a fool my friend
Mbona hueleweki,juzi ulisema jana lissu angeachiwa,mara kuna vikwazo konki CCM wamebanwa na wazungu watalazimika kumwachia lissu,leo wanataka kumpa sumu,sasa wakimpa sumu si itajulikana ni wao!?IDU wametoa statement ya kufatilia tetesi za mpango wa makatili kumuwekea Lissu sumu.
Itakumbukwa ya kuwa Lissu amekuwa mwiba mchungu kwa serikali za Tanzania.
IUD wamesema watatoa daily update kuhusu njama izo.
Mto wa Mbu,
Illinois
Ila wewe ndio a fool sio?The gvt is not a fool my friend
Meza mateMbona hueleweki,juzi ulisema jana lissu angeachiwa,mara kuna vikwazo konki CCM wamebanwa na wazungu watalazimika kumwachia lissu,leo wanataka kumpa sumu,sasa wakimpa sumu si itajulikana ni wao!?
Mzanzibari amenogewa na damu za Watanganyika anawaza kuua tu.IDU wametoa statement ya kufatilia tetesi za mpango wa makatili kumuwekea Lissu sumu.
Itakumbukwa ya kuwa Lissu amekuwa mwiba mchungu kwa serikali za Tanzania.
IUD wamesema watatoa daily update kuhusu njama izo.
=============
IDU imeshtushwa na taarifa za jaribio la kumtilia sumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu akiwa chini ya ulinzi. Tunazitaka mamlaka za Tanzania kulinda maisha, afya na haki zake. Madhara yoyote yatakuwa chini ya dhamana ya Serikali ya Tanzania. Dunia inatazama
Mmekazana na kampeni za matukio ya taharuki,ikikaribia kesi ya lissu mtakuja na mengineMeza mate
Lissu anaudhi Magu hakuwa mjinga kumtumia wasiojulikana,Samia atakuwa ana hasira sana na Lissu,90% za Samia kuchafuka kimataifa zimesababishwa na LissuIla huyu mwamba ni mbishi
Wewe fanya kampeini za October tunatikiMmekazana na kampeni za matukio ya taharuki,ikikaribia kesi ya lissu mtakuja na mengine
How can idiot prove that good will ?The gvt is not a fool my friend
No body said they are, but dont underestimate fools in large groupsThe gvt is not a fool my friend
If the gvt can initiate malicious charges likely it can be foolishThe gvt is not a fool my friend