Ukorofi wa Magufuli ndio ulisababisha mahindi kupigwa marufuku, kipindi mahindi yanapigwa marufuku kenya mwaka 2021 kwa kudaiwa yana sumu, Ruto hakuwa na nguvu serikalini, alikuwa ameshatengwa na serikali ya uhuru tangu mwaka 2018
Protokali za kujikinga na Covid ndio zilileta ugomvi na sio Kenya tu, hata Burundi, Rwanda n Uganda walikuwa wakizuia mizigo yetu
Labda kama hufuatilii mambo, pia Magufuli ndio alipiga marufuku mahindi kuuzwa Kenya mwaka 2017 na kusema unga tu ndio uuzwe Kenya ili kulinda viwanda vya TZ
Toa fact kupinga niliyoandika na sio propaganda za kisiasa