simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Uchaguzi wa kikabila kuliko chaguzi zote Kenya. Pamoja na progressive Uhuru kupigania kwa nguvu Raila kuchukua uongozi wa nchi,Kalenjini na wakikuyu wameungana kuhakisha miaka kumi utawala wa kalenjin(Ruto), baadaye miaka kumi utawala wa mkikuyu(Gachagua).Narrative ya UDA eti wakenya hatimaye wameshinda ukabila ni upuuzi mtupu-kenya itakuwa kwenye utawala wa Kalenjin/Mkikuyu kwa kipindi kisichopungua miaka 20.That is the way it is.