joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
I hope Kenya ipo salama.Tume ya Uchaguzi Huru na Mipaka (IEBC) imemtangaza aliyekuwa Naibu Rais, William Ruto (55) kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano kwa tiketi ya Chama cha UDA kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 9...
Atapewaje urais wakati matokeo kila mtu alikuwa anayaona na kila mtu anajua kabisa kapigwa za uso.?Nani ajuaye? Huenda akienda mahakamani atapewa Urais.
Duh..kuna yule mzee mmoj ajafikisha hata vote laki moj[emoji1787][emoji1787]
Hakuna hatua inaeleweka kwa Tanzania.Wewe unaonaje kwenye hizo hatua na kulinganisha na wenzetu.?
kaweHakuna inaeleweka kwa Tanzania.
Odinga maneno mengi huku matendo zero kabisa. Ananikumbusha enzi ya Lowasa aliposema yeye mfumo wote anaujua, kwahiyo vijana wake warelax hakuna atakaemuibia kura 😂😂😂Mbona Raila alisema yuko kwenye serikali, deep state, na kwa wazoefu na manguli wa siasa? Nini kimetokea tena huko? Au ameamua kumwachia mdogo wake?
Kenyatta alimuunga mkono Odinga kwa 100%.Kenyatta akili kubwa sana alijifanya kumuunga mkono Odinga kumbe changa la Machoo.
Afrika kiongozi anayetoka madarakani ndiyo anaamua nani arithi kiti chake, Jaluo kwa mara nyingine changa la machoo. Hapa kwetu CCM Itaendelea kutawala miaka 100.
Haya yalijitokeza kipindi cha jiwe tu, yule sheitwaini na wenye akili za kizezeta kama wewe unaamini, mfano ule uchaguzi serikali za mitaa eti 70% ya wagombea upinzani hawajui kusoma na kuandikaYaani Tz mgombea anajaza nyomi lakini matokeo ya kura anapoteza kwa 89.99%
Au wanachakachua dokumenti mwenzake anapita bila kupingwa
kaweHaya yalijitokeza kipindi cha jiwe tu, yule sheitwaini na wenye akili za kizezeta kama wewe unaamini, mfano ule uchaguzi serikali za mitaa eti 70 ya wagombea upinzani hawajui kusoma na kuandika
Unapenda unyonge ?Kama nilijua. siku zote nachagua upande unaoonewa
Ukorofi wa Magufuli ndio ulisababisha mahindi kupigwa marufuku, kipindi mahindi yanapigwa marufuku kenya mwaka 2021 kwa kudaiwa yana sumu, Ruto hakuwa na nguvu serikalini, alikuwa ameshatengwa na serikali ya uhuru tangu mwaka 2018Unaelimu gani we binti?
Je, umewahi kujiuliza kwamba hata wakulima wanahitaji kuwa na maendeleo kutokana na jasho lao?
Unataka bei iwe chini ili wao maisha yao yawe ya chini miaka yote?
Huna adabu binti wewe, na mumeo anakazi kweli kweli
0658154533 tapeli wa mtandaoni weweUkorofi wa Magufuli ndio ulisababisha mahindi kupigwa marufuku, kipindi mahindi yanapigwa marufuku kenya mwaka 2021 kwa kudaiwa yana sumu, Ruto hakuwa na nguvu serikalini, alikuwa ameshatengwa na serikali ya uhuru tangu mwaka 2018
Protokali za kujikinga na Covid ndio zilileta ugomvi na sio Kenya tu, hata Burundi, Rwanda n Uganda walikuwa wakizuia mizigo yetu
Labda kama hufuatilii mambo, pia Magufuli ndio alipiga marufuku mahindi kuuzwa Kenya mwaka 2017 na kusema unga tu ndio uuzwe Kenya ili kulinda viwanda vya TZ
Toa fact kupinga niliyoandika na sio propaganda za kisiasa
Duh...!0658154533 tapeli wa mtandaoni wewe
Kwamba ana even greater experience ya the Hague?Kumpeleka Ruto supreme court ni sawa na kumsukumia chura majini! Mabepari wote wa Kenya wako nyuma ya Ruto!
wewe ni kawe tuKwamba ana even great experience ya the Hague?
Kwa nini mkuu? Mbona kubandikana majina now wakati uchaguzi uliisha, mzee alitangaza mara tatu?wewe ni kawe tu