If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

Ya ni kweli mungu anavisa na tena visasi kweli kweli na pia mungu anahuruma sana na anasamehe sana,. Ipo ivi mungu Amekupa utashi na akili., mungu mfano an asema Fanya A usifanye B.. But wewe unafanya B mungu atakasilika sana na ukifika name dhambi hiyo lazima akuchome tu but ukitubu mungu anakusamehe hapo hapo

Kama mungu ana visa na visasi, hana huruma na msamaha.

Kama ana huruma na msamaha, hana visa na visasi.

Mungu mwenye visa, visasi, huruma na msamaha ni contradiction.
 
Mungu ni uoga wako tu, hayupo na wala hajawahi kuwepo.. Uwezo mdogo wa kufikiri na kupambanua mambo wakati ule ulifanya watu kutafuta visingizio katika maisha. Kiukweli mtu anayeshadadia hizi dini zilizokuja na meli na kutua hapo bagamoyo na kujifanya ana uchungu nazo na yuko tayari kudhuru hata wenzake namuona punguani tu. Babu zenu wameletewa bila kuhoji wakameza na wazazi wenu nao wakawamezesha tu. Wengi wenu hamjui hata kwanini mnaabudu. Cha ajabu zaidi waliowaletea hizo nusu kaputi za uwezo wa kufikiri a.k.a DINI wanawashangaa tu huku wakipiga mvinyo.
Hivyo vitabu mnavyoviamini vimeandikwa na watu kama sisi tena wao walikuwa frustrated vibaya mno maana kuna contradiction zisizohesabika

Mungu anadai anakupenda ila atakuchoma moto bila huruma ingawa ulikuwa huna hiyari ya kuzaliwa

Huyo huyo mungu anadai amekuumba uko perfect baadae anakumbuka kuna kitu alizidisha kwenye mwili wako anakuambia ukikate kwa njia ya tohara.

Mungu huyu huyu anaedai anakupenda anashusha magonjwa kuadhibu na kuleta gharika za ajabu..

Vitabu vya dini ni just work of art basi kama zilivyo kazi za kina Bawji na Shafi Adam...

TUAMKE!

This should be played at high volume, probably in a residential area.
 
Kiranga, before I answer your questions, can you please answer me this one.. Do you believe in the presence of God or not?

*I need a simple YES or NO.

Before asking your question you should specify, which god?

If you are talking about the Judeo Christian godhead, the personal.god who is omnipresent, omniscient, omni benevolent and omnipotent, the answer is I do.not have any reason.to believe in that fiction, because it is logically not consistent.
 
He just said "God".. do you believe in any God at all?
 
Mungu ni uoga wako tu, hayupo na wala hajawahi kuwepo.. Uwezo mdogo wa kufikiri na kupambanua mambo wakati ule ulifanya watu kutafuta visingizio katika maisha. Kiukweli mtu anayeshadadia hizi dini zilizokuja na meli na kutua hapo bagamoyo na kujifanya ana uchungu nazo na yuko tayari kudhuru hata wenzake namuona punguani tu. Babu zenu wameletewa bila kuhoji wakameza na wazazi wenu nao wakawamezesha tu. Wengi wenu hamjui hata kwanini mnaabudu. Cha ajabu zaidi waliowaletea hizo nusu kaputi za uwezo wa kufikiri a.k.a DINI wanawashangaa tu huku wakipiga mvinyo.
Hivyo vitabu mnavyoviamini vimeandikwa na watu kama sisi tena wao walikuwa frustrated vibaya mno maana kuna contradiction zisizohesabika

Mungu anadai anakupenda ila atakuchoma moto bila huruma ingawa ulikuwa huna hiyari ya kuzaliwa

Huyo huyo mungu anadai amekuumba uko perfect baadae anakumbuka kuna kitu alizidisha kwenye mwili wako anakuambia ukikate kwa njia ya tohara.

Mungu huyu huyu anaedai anakupenda anashusha magonjwa kuadhibu na kuleta gharika za ajabu..

Vitabu vya dini ni just work of art basi kama zilivyo kazi za kina Bawji na Shafi Adam...

TUAMKE!

Kijana naona umekuja kwa speed sana na kudai wanaoamini [kujua] Mungu yupo ni wavivu wa kufikiri,sawa

Wewe unaesema yupo tunaomba ushahidi ili usionekane wewe ni wa ajabu zaidi ya unaowatuhumu kutokufikiri maana najua unaelewa ujinga wa kusema kitu bila ya kuwa na ushahidi

Au na wewe unaamini kuwa hayupo?
 
I have been suicidal some time back in my life. I was just not interested in living. I thought it was my choice

Untill a friend showed me this 1Corinthians 3:17 If anyone destroys God's temple, God
will destroy him. For God's temple is
holy, and you are that temple

So its not one's choice to live. YOU SHOULD LIVE. WHETHER U ON EARTH, PARADISE OR HELL. YOU SHOULD BE SOMEWHERE. ITS LIKE A UNIVERSAL LIFE CONSTANT.

God had forseen everything before creation. Even the existence of the universal life constant was his idea.

I refuse to see how anything is anyones choice. Not your existence or your lifestyle. Yes, you can choose to fornicate or not but there are painful consequences if you do. Its not really a choice now is it?

Roman 14:8 If we live, we live for the Lord; and if
we die, we die for the Lord. So,
whether we live or die, we belong to
the Lord.

I call upon the almighty to destroy the universal life constant and let the ones who want to permanently vanish from existence to do so. IT WILL BE FOR YOUR GLORY. In Jesus' name.....everybody say AMEN
 
There's no point on answering ur questions then. Unachokifanya wewe ni kupinga tu, na sio kutafuta ukweli/majibu.

Kama ningepinga tu, nisingetaka ufafanuzi.

Maadam nataka ufafanuzi, sipingi tu.

Naweza kusema I pee on a known current cure for AIDS, and shit on quacks.

That doesn't mean if there is an actual cure, I will not investigate it's veracity in detail.
 
Kama kifaa kidogo kama saa kimeundwa na binadamu.. what abt a complex entity as a human being do u think your existence is a result of probability???
 
Kama kifaa kidogo kama saa kimeundwa na binadamu.. what abt a complex entity as a human being do u think your existence is a result of probability???

Hilibswali nimeshali address zaidi ya mara 100 hapa.

Labda hujanifuatilia tu.

Kama argument yako ni kwamba complexity ni lazima iumbwe, then unasema ulimwengu na binadamu ni lazima wameumbwa, argument yako ina matatizo mawili.

Kwanza haituthibitishii kwamba muumbaji ni lazima awe mungu. Inasema tu kwamba complexity ni lazima iumbwe na intelligence. Hii si convincing proof ya existence of god, after all, complexity ya ulimwengu na binadamu inaweza kuumbwa na kitu kingine kikicho intelligence lakini si mungu. Swali lililopo hapa ni kama mungu yupo, na nolitegemea unipe jabari inayoonyesha kwamba complexity haiwezi kutokea bila ya kuumbwa na mungu.

Hilo la kwanza.

Lakini kuna la pili, na ambalo ni muhimu zaidi.

Tuseme umeweza kutuonyesha kwamba mungu ndiye muumba wa dunia na binadamu na complexity yote. Fine.

Lakini kanuni yako mwenyewe inatuambia complexity haiwezi kutokea tu yenyewe, ni lazima iumbwe na intelligence kubwa zaidi.

Sasa ili mungu kuweza kuumba dunua na watu na complex systems zote zilizopo, ni.lazima.awe very complex.

Na yeye, kwa mujibu wa kanuni yako ya kusema kwamba complexity ni lazima iumbwe, na haiwezi kutokea tu, kwa kuwa huyu mungu naye atakuwa complex, atahitaji kuwa kaumbwa na intelligence kubwa zaidi, na hiyo intelligence nayo itahitaji kuumbwa.na intelligence nyingine kubwa zaidi. Ad infinitum, ad absurdum. Like a set of never ending Matryoshka dolls.

The absurdity does not rest only with the fact that this will create an infinite set of gods, god's gods and gods gods god's. It questions how much of a god is this godhead who has an infinite set of gods who created his gods before him?

Do you see how absurd your position is?
 
I have been suicidal some time back in my life. I was just not interested in living. I thought it was my choice

Untill a friend showed me this 1Corinthians 3:17 If anyone destroys God's temple, God
will destroy him. For God's temple is
holy, and you are that temple

So its not one's choice to live. YOU SHOULD LIVE. WHETHER U ON EARTH, PARADISE OR HELL. YOU SHOULD BE SOMEWHERE. ITS LIKE A UNIVERSAL LIFE CONSTANT.

God had forseen everything before creation. Even the existence of the universal life constant was his idea.

I refuse to see how anything is anyones choice. Not your existence or your lifestyle. Yes, you can choose to fornicate or not but there are painful consequences if you do. Its not really a choice now is it?

Roman 14:8 If we live, we live for the Lord; and if
we die, we die for the Lord. So,
whether we live or die, we belong to
the Lord.

I call upon the almighty to destroy the universal life constant and let the ones who want to permanently vanish from existence to do so. IT WILL BE FOR YOUR GLORY. In Jesus' name.....everybody say AMEN

Why would an all knowing, all loving, all capable god create a universe in which suicide is possible?
 
Why would an all knowing, all loving, all capable god create a universe in which suicide is possible?

Some time back I was posting on Eiyer's thread about spirits. In the course of our arguments it was agreed that Adam was created in such a way that he needed the fruit of life to live forever. So I asked if He was created perfectly in the first place.....etc. Eiyer said i needed more knowledge and that wasnt the place for it. Maybe he could enlighten me now?? Eiyer

If you are going to apply the laws of logic here, we will have to conclude that that type of God doesnt exist.

Do the Christians here accept that the laws of logic apply to God?

I "believe" in a "relatively" higher power.

It amazes me Kiranga how you are so assertive about the inexistence of an "entity" or "force" that we as scientists just dont know of yet.

There are so many frequencies we cant see or hear. we cant even begin to percieve the 4th dimension yet. Maybe God is in the 4th dimension LOL? What assures you of your 'belief'?
 
Last edited by a moderator:
Kama ningepinga tu, nisingetaka ufafanuzi.

Maadam nataka ufafanuzi, sipingi tu.

Naweza kusema I pee on a known current cure for AIDS, and shit on quacks.

That doesn't mean if there is an actual cure, I will not investigate it's veracity in detail.

Goodluck on ur "investigation".
 
Back
Top Bottom