Kama kifaa kidogo kama saa kimeundwa na binadamu.. what abt a complex entity as a human being do u think your existence is a result of probability???
Hilibswali nimeshali address zaidi ya mara 100 hapa.
Labda hujanifuatilia tu.
Kama argument yako ni kwamba complexity ni lazima iumbwe, then unasema ulimwengu na binadamu ni lazima wameumbwa, argument yako ina matatizo mawili.
Kwanza haituthibitishii kwamba muumbaji ni lazima awe mungu. Inasema tu kwamba complexity ni lazima iumbwe na intelligence. Hii si convincing proof ya existence of god, after all, complexity ya ulimwengu na binadamu inaweza kuumbwa na kitu kingine kikicho intelligence lakini si mungu. Swali lililopo hapa ni kama mungu yupo, na nolitegemea unipe jabari inayoonyesha kwamba complexity haiwezi kutokea bila ya kuumbwa na mungu.
Hilo la kwanza.
Lakini kuna la pili, na ambalo ni muhimu zaidi.
Tuseme umeweza kutuonyesha kwamba mungu ndiye muumba wa dunia na binadamu na complexity yote. Fine.
Lakini kanuni yako mwenyewe inatuambia complexity haiwezi kutokea tu yenyewe, ni lazima iumbwe na intelligence kubwa zaidi.
Sasa ili mungu kuweza kuumba dunua na watu na complex systems zote zilizopo, ni.lazima.awe very complex.
Na yeye, kwa mujibu wa kanuni yako ya kusema kwamba complexity ni lazima iumbwe, na haiwezi kutokea tu, kwa kuwa huyu mungu naye atakuwa complex, atahitaji kuwa kaumbwa na intelligence kubwa zaidi, na hiyo intelligence nayo itahitaji kuumbwa.na intelligence nyingine kubwa zaidi. Ad infinitum, ad absurdum. Like a set of never ending Matryoshka dolls.
The absurdity does not rest only with the fact that this will create an infinite set of gods, god's gods and gods gods god's. It questions how much of a god is this godhead who has an infinite set of gods who created his gods before him?
Do you see how absurd your position is?