Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Goodluck on ur "investigation".
If the replies are limited to this type of input, all the luck in the world wouldn't cut it.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goodluck on ur "investigation".
If the replies are limited to this type of input, all the luck in the world wouldn't cut it.
Yeah right..
One of the two is redundant.
why were ancient Jews so Barbaric?
Kabla ya kuniambia mungu ananipenda, tafadhali thibitisha kwamba yupo.
By Kiranga
Hujaelewa/ unakwepa swali, siulizi mungu wangu, nauliza mungu wako.
By Free ideas
God is a complicated entity which requires a much more certificated explanation ..........
.
Kijana naona umekuja kwa speed sana na kudai wanaoamini [kujua] Mungu yupo ni wavivu wa kufikiri,sawa
Wewe unaesema yupo tunaomba ushahidi ili usionekane wewe ni wa ajabu zaidi ya unaowatuhumu kutokufikiri maana najua unaelewa ujinga wa kusema kitu bila ya kuwa na ushahidi
Au na wewe unaamini kuwa hayupo?
Evolution of Gays. Only in non theism.Why would an all knowing, all loving, all capable god create a universe in which suicide is possible?
Usicheke sana. Jamaa hawa hapaLOL imenibidi nicheke
Why are there so many gay atheists?
Does one tendency help cause the other?
For easy of reference enter here: Gay Atheists - Think Atheist
Wewe umejiunga leo halafu unamjua MaxShimba and Co.!!! DuuuhUmenikumbusha mbali enzi za kina Maxshimba & co walikuwa wakizidiwa hoja ni kukimbilia vitu nje ya mada. Labda unisaidie kingine kwa ufupi since avatar yako inasema jesus is god.
Waliotengeneza character ya Yesu waliamua kuiga au walikuwa wamechoka kiakili na kuamua kucopy characteristics za miungu wa zamani kuliko yeye wengine hadi wengine miaka 3000 kabla yake
ambazo ni kuzaliwa na bikra, tarehe 25 disemba, kufufuka baada ya siku tatu, kutembea kwenye maji, wafuasi kumi na mbili nk.
Mfano;
Egyptian Horus 3000bc
Dionysus 500 bc
Mithra 1200 bc
Krishna na wengineo wengi
Ilikuwaje why so much resemblance in character na hiyo miungu ya zamani kabla yake?? Au ndiyo mambo ya kunyofoa story kwenye DC comics za zamani na kuibadilisha na kwenda kupublish upya Marvel years later?
Umenikumbusha mbali enzi za kina Maxshimba & co walikuwa wakizidiwa hoja ni kukimbilia vitu nje ya mada. Labda unisaidie kingine kwa ufupi since avatar yako inasema jesus is god.

Haha, is this part of ur investigation mkuu?

Usicheke sana. Jamaa hawa hapa
![]()
![]()
Non theists hate God because they want to practice gay and lesbianism. As I said before, all of them are married gays.
If you cannot recognize a linguistic tautology, how can you have any hope of grasping the insidious intricacies and counterintuitive contradictions pertaining to the philosophy of religion and the nature of the supposed godhead?
Kujua ni kupanga?
Unaweza kuwa hujanielewa
Namaanisha hivi:
Ukijua kesho mvua itanyesha ndio unakuwa umepanga inyeshe?
I thought u shit on gods mkuu, what do u want to know about him? U don't believe, keep on not believing. I won't answer any of ur questions.
U shit on the cure for AIDS, and u still waste ur time on investigating its ubiquity?
This means u would love to have sex without a condom knowing/believing the cure will save u. If not, why investigate? What's the purpose of ur investigation?
What are u going to do once u find out its there? Of course u can't answer me that, u are simply going say "there will never be a cure for AIDS".
I don't know where u are standing my friend, that's why there's no point on answering ur naïve questions.
Thanks for understanding mkuu. Hakuna kazi rahisi duniani kama "kupinga".
Tusihangaike kuruka vihunzi hapa mchungaji mungu hayupo wala hakuna ushahidi valid unaoProve uwepo wake. Kukosa majibu kwetu kwa baadhi ya vitu hakumaanishi kuna mungu.