If it is government funds, why call it Samia scholarships?

Rais Samia pesa anatoa wapi za kuwapa watu ufadhili? Au sijaelewa? If it is government funds, why call it Samia scholarships?
Maswali ya kijinga. Heshima ya mtu usiichezee kisiasa kwa vile tu CUF na CHADEMA bado hamjapara Rais. Kwani Ziwa Victoria alitoa ndoo ngapi za maji kulijaza? Duke of York alijenga tofali ngapi New York? Ni heshima ya mtu, akisema NO itakuwa NO kwa sababu tulimpa madaraka hayo tulipomchangua, akamshinda tundulissu 87%/13%. Kama ingekuwa the other way round tungekuwa na Makanikia Bridge
 
Rais Samia pesa anatoa wapi za kuwapa watu ufadhili? Au sijaelewa? If it is government funds, why call it Samia scholarships?
Ni jina tu mfano uwanja kuitwa uwanja wa mkapa haimaanishi ulijengwa kwa pesa yake.
Tupunguze makasiriko vitu vingine vya kawaida tu.
Daraja la kijazi haimaanishi alilijenga kwa pesa yake.
Ziwa victoria haimaanishi eliza ndiye aliliweka pale, ni jina tu.
Hofu yangu, ni je watu hawatazipiga hizo pesa maana tz ni upigaji tu.
 
Nafikiri ilitakiwa iitwe Tanzania scholarship kwa sababu nahisi ni Kodi za wananchi Hizo!! Ukitaja jina la mtu maana yake yeye ndiye katoa hela mfukoni mwake!!
 
Hizo fedha ziliidhinishwa na bunge?

Utawala wa sheria..!!

CCM ina mambo ya ajabu sina, similar to 'MABILION YA JK'
 
Nani aliyemchagua huyo unayemtetea?ubovu wa katiba ndiyo imemfanya arithi na siyo kuwa amechaguliwa
 
Mm naona hizi zingekuwa zinatolewa Kwa vijana wenye ufaulu mzuri ila waliotoka shule zenye mazingira magumu, kwani Hawa ndio watanzania halisi watakaoshika mavi ya watanzania wenzao huko mahospitalini, watakao kuja kuloa mvua na jua Ili kuipeleka Tanzania mbele, lakini ukiangalia majina yaliochaguliwa wengi ni kutoka private tena zile za gharama Hawa huwa wameshatengenezewa muelekeo na wazazi wao
 
I guess it is similar to 'Stendi ya Magufuli' or 'Soko la Ndungai' or 'Ukumbi wa Jakaya Kikwete'!
 
Rais Samia pesa anatoa wapi za kuwapa watu ufadhili? Au sijaelewa? If it is government funds, why call it Samia scholarships?
Hivi wenzetu mlisoma shule zipi mbona zimewafundisha kulalamika tuu na reasoning capacity ndogo kiasi hicho? Kuita jina mali ya umma ndio lazima kiwe chake au ametoa pesa mfukoni mwake? Hizi shule za umma zenye majina ya viongozi mbalimbali je ni za kwao au wao ndio waliotoa pesa? By the way hizo scholarship atasomesha wakojani wake? Au watoto wenu wenyewe? Watanzania mbona mnalalamika Sana bila sababu za msingi. Nachelea kumuelewa JPM kuweka mipaka kwenye Uhuru wa kukosoa. Hamna jema kwenu.
 
Nafikiri ilitakiwa iitwe Tanzania scholarship kwa sababu nahisi ni Kodi za wananchi Hizo!! Ukitaja jina la mtu maana yake yeye ndiye katoa hela mfukoni mwake!!
Hii ndio JF ya siku hizi,imejaa hisia badala ya fact.
 
Unakumbuka Obamacare au Magufuli Stand?
 
Daraja la Kijazi ama Mfugale ni fedha za Umma why yanaitwa hivyo?

Airport je?
Hostel ya JPM je?
Mkicomment narudi
Yale ni majina ya heshima kutokana na utumishi wao umaarufu wao....Kawawa road haimaanishi kwamba hiyo barabara imejengwa na Kawawa.......
 
Daraja la Kijazi ama Mfugale ni fedha za Umma why yanaitwa hivyo?

Airport je?
Hostel ya JPM je?
Mkicomment narudi
Bora hao magufuli na nyerere walichaguliwa na wananchi kidemokrasia tofauti na sa.....ambay yeye ameri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…