If we all end up dying, what is the purpose of living?

If we all end up dying, what is the purpose of living?

hakuna fumbo lolote...... ukifa ur done! mungu? kuna watu bado wanaamin uwepo kitu kinaitwa mungu? utunzi wa kale tu kuimprove morality ktk jamii hakuna kitu kama icho!!!

Nikijibizana na ww I will be nonsense
 
Cheka, lia, furahia, chukia, piga, pigwa, tukana, jifunze, busara, oa, olewa, kuwa peke ako, tafuta marafiki, fanya kazi, fuata taratibu, iba ibiwa, chepuka, umiza watu kimapenzi, yani takataka zote za kidunia ukiweza fanya tu. Mwisho wa siku unakufa, hakuna cha ziada

Tusidanganyane kuna maisha baada ya kifo, ukifa umekufa, unaoza, mzunguko unaendelea hivyo yani.

Tupo ili tuishi.

Ova.
Mkuu sawa kabisa, na ukishakufa hakuna kufufuka wala moto wa milele au raha ya milele. Ukilijua hilo utaishi kwa raha bila hofu wala wasiwasi. Kama raha ipo, enjoy to the maximum. Ukiikosa, ijutie.
 
Kuna andiko kwenye kitabu cha MHUBIRI linasema"Hata ile hali ya kuishi milele bila kufa bado ingali ndani yetu ila kwa jinsi tusivyoweza kuivumbua kazi ya MUNGU hatujui" ila lengo/purpose ya kuishi liko wakati mtu anaishi sio mwisho wa kuishi.Ndo maana kuna walimu,madaktari,wahasibu na wahandisi,wanasiasa na kazi nyingine za haki labda lengo la mtu kuishi ni kuwa katika ujuzi au fani flani kwa ajili ya kutenda jambo flani kwenye jamii litakalopelekea mabadiliko chanya kwenye jamii na ulimwengu.
 
Cheka, lia, furahia, chukia, piga, pigwa, tukana, jifunze, busara, oa, olewa, kuwa peke ako, tafuta marafiki, fanya kazi, fuata taratibu, iba ibiwa, chepuka, umiza watu kimapenzi, yani takataka zote za kidunia ukiweza fanya tu. Mwisho wa siku unakufa, hakuna cha ziada

Tusidanganyane kuna maisha baada ya kifo, ukifa umekufa, unaoza, mzunguko unaendelea hivyo yani.

Tupo ili tuishi.

Ova.

philosophers tunaamin hivyo!
 
Once you die,you are done",,Does that suppose to mean kuwa haya mambo tunayoyafanya hayana malipo??,.kwa mfano Mtu akiua watu wasioweza kupambana nae later on there would be no justice for them??
 
Kama nafsi ilikuwepo kabla ya kupewa kiwiliwili ina maana nafsi si akili wala ufahamu!kama nafsi ingelikuwa na ufahamu au kujitambua basi sisi sote tuliopewa nafsi tungeweza kukumbuka makarne milioni kabla nafsi haijaingia ktk mwili!ukifungua akili yako kuna mambo mawili ya kujiuliza kuhusu nafsı au roho moja-: je roho iliumbwa sanjali na kiwiliwili?!au ilikuwa stoo ikisubiri kiwiliwili?!
Pili-:kama ilikuwa stoo mbona haina kumbukumbu kuhusu ulimwengu iliokuwa kabla?!kabla ya kuvaa mwili!!
Kuna wenye imani kwmba roho ikitoka inaenda kuingia kwa kiumbe kipya kilichozaliwa je kwann haikumbuki x-body wake?
 
WE DIE TO DECREASE THE NUMBER OF LIVINGS AND TO INCREASE THE NUMBER OF BIRTHS

NB:KAMA KUSINGEKUWA NA KIFO DUNIA INGEJAA YOTE
 
Life is an infinite continuum just as the Universe, like Gravitation, like radiations! Life is interconnected biologically; we all have DNA as the database that define how you live as an individual. However as all water flows back to the sea, life energy flows back to its center! Planets revolves around stars until they recombine with the star, Stars revolves around the center of the Galaxy until they recombine. Stars explode into supernova enriching the Universe with elements which through various forces recombine to form different types of beings. The never ending cycle has been there and will always be there.

The memories, the knowledge, the experiences: all are illusion of your current state. Everything is part of everything. Trees, microbes, clouds, Stones, dust, cosmic radiations, atoms, molecules, etc. .... everything you see is part of the continuum called life. Human state and experience endures for a maximum of 120 years! Planetary experience endures for Billions of years. Atomic experience endures for Trillions of years. There was no big bang. There is a continuous transformation from one state of being into other infinitely. If that has no meaning to you, it is what it REAL! You like it or you don't like it, it is REAL.

Even stars, like the sun, will explode and change after Billions or trillions timeline. Time is the illusion of your current state!!

What were of you before your were born? What was the experience like 4,000 years ago; 1 Billion years ago? If you think you will live on; either as a soul or a spirit; just imagine what were of you 1 Million years ago - No memory, no comprehension, no understanding, no experience. Similarly after your death; No memory, no comprehension, no understanding, no experience. Mind, Memory, experience, and all understanding of your current state i.e. your living status are reserved in your brain. They cease to make sense as your brain dies. You have transformed into new state which will endure until another change e.g. you are buried and become part of the global collateral of mater which will change when our planet cease to exist.
 
Mkuu sawa kabisa, na ukishakufa hakuna kufufuka wala moto wa milele au raha ya milele. Ukilijua hilo utaishi kwa raha bila hofu wala wasiwasi. Kama raha ipo, enjoy to the maximum. Ukiikosa, ijutie.
And We have made for you therein means of living and [for] those for whom you are not providers. Quran 15:20





Link Surah Al-Hijr [15]

Link2. Surah Al-'Ankabut [29]
 
Back
Top Bottom