MAJANGAMAJANGA
Senior Member
- Feb 13, 2013
- 179
- 92
Maisha hayana lengo ila kuishi ndio lengo lenyewe na ufe umeujua ukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu kumbukumbu jibu lake ni rahisi japo nalo ni swali,je wewe sasa hivi unakumbuka kila kitu ulichofanya siku ya tatu tokea ujiunge darasa la kwanza?Kama nafsi ilikuwepo kabla ya kupewa kiwiliwili ina maana nafsi si akili wala ufahamu!kama nafsi ingelikuwa na ufahamu au kujitambua basi sisi sote tuliopewa nafsi tungeweza kukumbuka makarne milioni kabla nafsi haijaingia ktk mwili!ukifungua akili yako kuna mambo mawili ya kujiuliza kuhusu nafsı au roho moja-: je roho iliumbwa sanjali na kiwiliwili?!au ilikuwa stoo ikisubiri kiwiliwili?!
Pili-:kama ilikuwa stoo mbona haina kumbukumbu kuhusu ulimwengu iliokuwa kabla?!kabla ya kuvaa mwili!!
Kuna wenye imani kwmba roho ikitoka inaenda kuingia kwa kiumbe kipya kilichozaliwa je kwann haikumbuki x-body wake?
Why don't we go directly to that place reserved for us after death? I think we are wasting our time here before we are gone.
hakuna fumbo lolote...... ukifa ur done! mungu? kuna watu bado wanaamin uwepo kitu kinaitwa mungu? utunzi wa kale tu kuimprove morality ktk jamii hakuna kitu kama icho!!!
Mkuu sawa kabisa, na ukishakufa hakuna kufufuka wala moto wa milele au raha ya milele. Ukilijua hilo utaishi kwa raha bila hofu wala wasiwasi. Kama raha ipo, enjoy to the maximum. Ukiikosa, ijutie.
Naweza nisikumbuke vyote, lakini nikakumbuka vichache ambavyo vikaniaminisha kuwa nilisoma darasa la kwanza. Kwa mfano, nakumbuka hata kuhesabu kwa kutumia visoda nilikuwa nafanya. Lakini ukiniambia niliwahi kuishi kabla sijazaliwa na wakati hakuna hata kimoja ninachokumbuka ni uongo tu.Kuhusu kumbukumbu jibu lake ni rahisi japo nalo ni swali,je wewe sasa hivi unakumbuka kila kitu ulichofanya siku ya tatu tokea ujiunge darasa la kwanza?
Kama hukumbuki na mwingine akisema kujasoma darasa la kwanza yuko sahihi??
Kuna jibu kwa kila kitu,ni kutafuta tu majibu na ukiwa serious enough utapata.
Tuseme hivi kama watu tunaotaka kujifunza,kwamba huwezi kunithibitishia kwamba hakuna maisha baada ya kifo na mimi siwezi kukuthibitishia kwamba hakuna maisha baadavya kifoNaweza nisikumbuke vyote, lakini nikakumbuka vichache ambavyo vikaniaminisha kuwa nilisoma darasa la kwanza. Kwa mfano, nakumbuka hata kuhesabu kwa kutumia visoda nilikuwa nafanya. Lakini ukiniambia niliwahi kuishi kabla sijazaliwa na wakati hakuna hata kimoja ninachokumbuka ni uongo tu.
Cheka, lia, furahia, chukia, piga, pigwa, tukana, jifunze, busara, oa, olewa, kuwa peke ako, tafuta marafiki, fanya kazi, fuata taratibu, iba ibiwa, chepuka, umiza watu kimapenzi, yani takataka zote za kidunia ukiweza fanya tu. Mwisho wa siku unakufa, hakuna cha ziada
Tusidanganyane kuna maisha baada ya kifo, ukifa umekufa, unaoza, mzunguko unaendelea hivyo yani.
Tupo ili tuishi.
Ova.
Shirikisha akili yako na tafakari.Cheka, lia, furahia, chukia, piga, pigwa, tukana, jifunze, busara, oa, olewa, kuwa peke ako, tafuta marafiki, fanya kazi, fuata taratibu, iba ibiwa, chepuka, umiza watu kimapenzi, yani takataka zote za kidunia ukiweza fanya tu. Mwisho wa siku unakufa, hakuna cha ziada
Tusidanganyane kuna maisha baada ya kifo, ukifa umekufa, unaoza, mzunguko unaendelea hivyo yani.
Tupo ili tuishi.
Ova.
Problem inakuj pale mtu anapojikuta anaamin kuna Mungu lkn hajui yupi ni Mungu sahihi apo ndo inapelekea wengn kuhs pengn Mungu ni tofaut na tunavyomfkriaIkiwa mtu anaamini kwamba hakuna Mungu, atagundua kwamba maisha hayana maana kwake. Kwa sababu asili ya maisha kwake itakuwa ni matokeo ya mahusiano yasiyo na maana ya nguvu za asili. Lakini kwa mtu anayeamini kuwa kuna Mungu kama ambavyo Biblia inafundisha, maisha kwako yatakuwa yana maana. Kwa sababu uwepo Wa mwanadamu kwako ni kwa kusudi fulani maalum la Mungu. Kwa hiyo majibu ya kwa nini tunaishi yatategemea na mtazamo
kuhusu uwepo Wa Mungu.
0.5nicIkiwa mtu anaamini kwamba hakuna Mungu, atagundua kwamba maisha hayana maana kwake. Kwa sababu asili ya maisha kwake itakuwa ni matokeo ya mahusiano yasiyo na maana ya nguvu za asili. Lakini kwa mtu anayeamini kuwa kuna Mungu kama ambavyo Biblia inafundisha, maisha kwako yatakuwa yana maana. Kwa sababu uwepo Wa mwanadamu kwako ni kwa kusudi fulani maalum la Mungu. Kwa hiyo majibu ya kwa nini tunaishi yatategemea na mtazamo
kuhusu uwepo Wa Mungu.
I've learned something new hereEvery Human being is 3 in 1. That is he has a SPIRIT, SOUL and BODY.
The Spirit and Soul are eternal, they never die. But the Body is given time to live. Death is when your Spirit & Soul leaves the body.
The Bible says what will benefit a man if he get the whole world and loses his own soul? (Matthew 16:26). It is important therefore that when you die - when your spirit leave your body, you end into safe place and not hell. The Bible say blessed are dead who dies in the Lord, they may rest from their labor (Revelation 14:13).
Therefore, the purpose meaningful living is to prepare your soul for the eternity life, through living holy life here on earth. Be blessed.
Huyo anayeabudiwa anapata faida gani, Dini ni utopia"nimewaumba majini na watu ili mpate kuja kuniabudu" quran
Huyo anayeabudiwa anapata faida gani, Dini ni utopia
0.5nic
Kama umeisoma Biblia na kuielewa, nakushauri pia usome Quran kama mdadisi tu halafu ilinganishe Quran na Biblia na mafundisho yaliyomo ndani ya vitabu hivyo.
Link Qur'ani Tukufu
Link2. Surah Al-Fatihah [1]
Ubarikiwe.
Mimi ni mmojawao asieamini kuwa kuna kusudio la maisha.Mwanadamu yeyote duniani asiyejua kusudio la kuumbwa kwake;yaani hajui kwa nini yupo hapa duniani,yupo kwenye giza nene mno kuliko usiku.Ni msiba mkubwa huu walio nao wengi ulimwenguni bila ya kujali hadhi,cheo wala elimu zao.