Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,047
hakuna fumbo lolote...... ukifa ur done! mungu? kuna watu bado wanaamin uwepo kitu kinaitwa mungu? utunzi wa kale tu kuimprove morality ktk jamii hakuna kitu kama icho!!!
hakuna fumbo lolote...... ukifa ur done! mungu? kuna watu bado wanaamin uwepo kitu kinaitwa mungu? utunzi wa kale tu kuimprove morality ktk jamii hakuna kitu kama icho!!!
Mkuu sawa kabisa, na ukishakufa hakuna kufufuka wala moto wa milele au raha ya milele. Ukilijua hilo utaishi kwa raha bila hofu wala wasiwasi. Kama raha ipo, enjoy to the maximum. Ukiikosa, ijutie.Cheka, lia, furahia, chukia, piga, pigwa, tukana, jifunze, busara, oa, olewa, kuwa peke ako, tafuta marafiki, fanya kazi, fuata taratibu, iba ibiwa, chepuka, umiza watu kimapenzi, yani takataka zote za kidunia ukiweza fanya tu. Mwisho wa siku unakufa, hakuna cha ziada
Tusidanganyane kuna maisha baada ya kifo, ukifa umekufa, unaoza, mzunguko unaendelea hivyo yani.
Tupo ili tuishi.
Ova.
There is no purpose of living !
Cheka, lia, furahia, chukia, piga, pigwa, tukana, jifunze, busara, oa, olewa, kuwa peke ako, tafuta marafiki, fanya kazi, fuata taratibu, iba ibiwa, chepuka, umiza watu kimapenzi, yani takataka zote za kidunia ukiweza fanya tu. Mwisho wa siku unakufa, hakuna cha ziada
Tusidanganyane kuna maisha baada ya kifo, ukifa umekufa, unaoza, mzunguko unaendelea hivyo yani.
Tupo ili tuishi.
Ova.
philosophers tunaamin hivyo!
Link Surah Adh-Dhariyat [51:53-59]Do not comment on opinions, be honest.
=======
Do not comment on opinions, be honest.
=======
If we all end up dying, what is the purpose of living?
And We have made for you therein means of living and [for] those for whom you are not providers. Quran 15:20Mkuu sawa kabisa, na ukishakufa hakuna kufufuka wala moto wa milele au raha ya milele. Ukilijua hilo utaishi kwa raha bila hofu wala wasiwasi. Kama raha ipo, enjoy to the maximum. Ukiikosa, ijutie.
Even if you lived forever, what is the purpose of life?
Kuna watakaokuja kuquote maandiko kuwa binadamu waliumbwa ili wamsifu mungu, for eternety. Thats it! hahaha
Tunaish ili tuishi tu, nothing more
There is no purpose of living !
It is pleasure! twice as sleepDeath isn't a worse thing in life