If we all end up dying, what is the purpose of living?

Kuhusu kumbukumbu jibu lake ni rahisi japo nalo ni swali,je wewe sasa hivi unakumbuka kila kitu ulichofanya siku ya tatu tokea ujiunge darasa la kwanza?

Kama hukumbuki na mwingine akisema kujasoma darasa la kwanza yuko sahihi??

Kuna jibu kwa kila kitu,ni kutafuta tu majibu na ukiwa serious enough utapata.
 
Why don't we go directly to that place reserved for us after death? I think we are wasting our time here before we are gone.
hakuna fumbo lolote...... ukifa ur done! mungu? kuna watu bado wanaamin uwepo kitu kinaitwa mungu? utunzi wa kale tu kuimprove morality ktk jamii hakuna kitu kama icho!!!
Mkuu sawa kabisa, na ukishakufa hakuna kufufuka wala moto wa milele au raha ya milele. Ukilijua hilo utaishi kwa raha bila hofu wala wasiwasi. Kama raha ipo, enjoy to the maximum. Ukiikosa, ijutie.
 
The purpose of living is to have the good dying in our ending,and good life then after for what we did during our living!
 
Naweza nisikumbuke vyote, lakini nikakumbuka vichache ambavyo vikaniaminisha kuwa nilisoma darasa la kwanza. Kwa mfano, nakumbuka hata kuhesabu kwa kutumia visoda nilikuwa nafanya. Lakini ukiniambia niliwahi kuishi kabla sijazaliwa na wakati hakuna hata kimoja ninachokumbuka ni uongo tu.
 
Tuseme hivi kama watu tunaotaka kujifunza,kwamba huwezi kunithibitishia kwamba hakuna maisha baada ya kifo na mimi siwezi kukuthibitishia kwamba hakuna maisha baadavya kifo

Kwa maana hiyo huna haki ya kupinga ama kukataa,afadhali useme sijui.

Ila nikiongelea imani,kuna maisha baada ya kifo na kulikuwa na maisha kabla ya kuzaliwa.
 


 
Shirikisha akili yako na tafakari.



 
Ikiwa mtu anaamini kwamba hakuna Mungu, atagundua kwamba maisha hayana maana kwake. Kwa sababu asili ya maisha kwake itakuwa ni matokeo ya mahusiano yasiyo na maana ya nguvu za asili. Lakini kwa mtu anayeamini kuwa kuna Mungu kama ambavyo Biblia inafundisha, maisha kwako yatakuwa yana maana. Kwa sababu uwepo Wa mwanadamu kwako ni kwa kusudi fulani maalum la Mungu. Kwa hiyo majibu ya kwa nini tunaishi yatategemea na mtazamo
kuhusu uwepo Wa Mungu.
 
Problem inakuj pale mtu anapojikuta anaamin kuna Mungu lkn hajui yupi ni Mungu sahihi apo ndo inapelekea wengn kuhs pengn Mungu ni tofaut na tunavyomfkria
 
0.5nic
Kama umeisoma Biblia na kuielewa, nakushauri pia usome Quran kama mdadisi tu halafu ilinganishe Quran na Biblia na mafundisho yaliyomo ndani ya vitabu hivyo.

Link Qur'ani Tukufu

Link2. Surah Al-Fatihah [1]



Ubarikiwe.
 
I've learned something new here
 
''Mi naamini kuna kiama ila haswa kwa watu flani'' -Young Dee
 
[Q"Daviie, post: 16796184, member: 366510"]Problem inakuj pale mtu anapojikuta anaamin kuna Mungu lkn hajui yupi ni Mungu sahihi apo ndo inapelekea wengn kuhs pengn Mungu ni tofaut na tunavyomfkria[/QUOTE]

Mkuu nimekupata vizuri sana. Ni kweli kwamba baada ya mtu kuamini kwamba Mungu yupo inakuja shida ya kugundua ni yupi Mungu sahihi katika dini zote zilizopo duniani. Lakini dini zote zinafundisha kwamba tunaweza kumwomba Mungu kuhusu mambo mbalimbali, kwa hiyo Mimi nashauri kwamba kama mtu ana nia ya dhati ya kutaka kumjua Mungu Wa kweli kwa nini usitumie kumwomba Mungu kwa imani ili akuongoze kujua dini ya kweli...halafu uanze kuchunguza dini zilizopo kwa kutumia vigezo fulani ambavyo dini ya kweli sharti iwe navyo.
 
0.5nic
Kama umeisoma Biblia na kuielewa, nakushauri pia usome Quran kama mdadisi tu halafu ilinganishe Quran na Biblia na mafundisho yaliyomo ndani ya vitabu hivyo.

Link Qur'ani Tukufu

Link2. Surah Al-Fatihah [1]



Ubarikiwe.
Mkuu Nonda nashukuru sana kwa link ulizotuma,naahidi nitazifuatilia. Lakini nimekuwa nikisoma Biblia,Quran na Hadithi Sahih Muslim na Sahih Bukhari kwa muda sasa. Na hadi sasa nimeridhishwa na Ukristo zaidi.
 
Mwanadamu yeyote duniani asiyejua kusudio la kuumbwa kwake;yaani hajui kwa nini yupo hapa duniani,yupo kwenye giza nene mno kuliko usiku.Ni msiba mkubwa huu walio nao wengi ulimwenguni bila ya kujali hadhi,cheo wala elimu zao.
 
Mwanadamu yeyote duniani asiyejua kusudio la kuumbwa kwake;yaani hajui kwa nini yupo hapa duniani,yupo kwenye giza nene mno kuliko usiku.Ni msiba mkubwa huu walio nao wengi ulimwenguni bila ya kujali hadhi,cheo wala elimu zao.
Mimi ni mmojawao asieamini kuwa kuna kusudio la maisha.

Umeanza kwa kutaja "...kusudio la kuumbwa kwake..." nadhani ukimaanisha Mungu ndie alietuumba. Kama ndivyo unavyoamini kua kuna Mungu na ndie alietuumba na kutuleta hapa duniani basi endelea kuamini hivyo hivyo na wala usinijibu (soma jibu langu la huu uzi). Lakini kama una mtazamo tofauti mwengine na unajua kusudio la maisha hapa duniani basi tujuze. Ningependa sana kusikia maoni yako bali usimhusishe Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…